Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
hhhhaaaaaaaaaUKUTA aruke ende wapi
hhhhaaaaaaaaaUKUTA aruke ende wapi
Mwaala.. Mwaaala.... aaaaaaMwaaalaaa😛😀😀Mpaka umefika.
Hahaahha.....
Halafu sasa wala hatukuwa tumefunga ndoa.hahahaha kasahau tena wanaume lifespan yao ni nyembamba! hahaha nimecheka sana aisee
Kumbe wewe ni 'she'? Ngoja nije PM fastaakiamua atakuweza! usiache kumwambia unapenda ufanyiwe vitu gan uhusiano wenu udumu! wanawake tuna kawaida ya kususa!men anajisahau majukumu yake bas sisi tunazira tunagekuia kwa wengne!arghhh mby sanasana!
Nakutakia kila kheri mpwa na maisha mema wewe na chaguo la moyo wako......Hahahahah.....eti uliposahau miwani.
Una hatari hujijui tu.
Nina imani atakuja humu.
Tuitumie tu mitandao vyema.
Asante mpwa, nasongesha gurudmu la maisha sasa na maisha mapya na mwenzangu
sitak men chapombe km ww !pita hv!😎Kumbe wewe ni 'she'? Ngoja nije PM fasta
eti manengelo aruke ''UKUTA'' anaenda wapiiiiiii??
Kumbe ndugu yangu alishakukula?Halafu sasa wala hatukuwa tumefunga ndoa.
Huyu anamsemea Ben Saanane (r.i.p)
Alikuwa mpenzi wangu na wala si mume kwa maana hatukuwa tumefunga ndoa.
Huenda asingepotea/asingefariki, huenda ndie angekuwa baba wa mtoto/watoto wangu.
Sitaki kukumbushwa machungu.
Tuache alale salama alipolala Ben....😕😕😕
Uzuri hata Mung Chris nilimueleza hili na analijua vyema.
Kwahiyo manengelo, acha binadamu waseme mpaka wachoke
Nisubiri hubby hata mimi nina safari ya huko PMKumbe wewe ni 'she'? Ngoja nije PM fasta
Khaaa....!Nisubiri hubby hata mimi nina safari ya huko PM
Ndo nishawaponyoka kabisa.Madam B daah mtoto wa kitanga ndio ashatupunyoka wawindaji .
Halafu sasa wala hatukuwa tumefunga ndoa.
Huyu anamsemea Ben Saanane (r.i.p)
Alikuwa mpenzi wangu na wala si mume kwa maana hatukuwa tumefunga ndoa.
Huenda asingepotea/asingefariki, huenda ndie angekuwa baba wa mtoto/watoto wangu.
Sitaki kukumbushwa machungu.
Tuache alale salama alipolala Ben....😕😕😕
Uzuri hata Mung Chris nilimueleza hili na analijua vyema.
Kwahiyo manengelo, acha binadamu waseme mpaka wachoke