From Arusha back to Dar es Salaam....

From Arusha back to Dar es Salaam....

Madame B sitakikata nitakiosha kwa maji na sabuni
Sasa faini yake aje atupe hapa tukae viti virefu na the tutamwambia kama bado anakubalika au bado yuko under probation

Basi kama hutakikata ninaimani nae mtampokea kama bado mwanachama wenu.
See u Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
stevoh inabidi tuwe hivyo aise maana kama ulikuwa na wiki karibu mbili hapa na umeuchuna hata kututafuta hufai kuwa mwana arachuga
Tunafikiria nafasi yako hii bora tukuondoe akina Madame B wakupe uraia wa dar

wewewewewe ishia hapohapo usitake ntibua ololo haya endelea nchokonoachokonoa tu.
 
Last edited by a moderator:
We nawe hukufanya fair, kwanini hujawatafuta wa chamani wenzako?
Ukitengwa, usikimbilie huku chama la Dar, huku kwenyewd akina Baba V na akina Bishanga tiamaji tiamaji.

sio hivyo mama yanii mpaka niachiwe hom ilikua kimbembe ukweli ni kwamba mie ndie kitindamimba ndo maana yakatokea yaliyotokea...
 
Last edited by a moderator:
Ndio namshangaa kulikuwa haja gani kusema anakuja km hataki kuona wenyeji.

nimewasiliana na LiverpoolFC ila tukakosa muda wa kukutana mpaka nilivyoondoka kutokana na majukumu kaka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom