Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Hekaya za Abunuwas na Alfu Lela ulela nilimuona dogo anapitisha mitaani, nikanunua buku tano tano.kwa yeyote mwenye hivyo vitabu kwa gharama yeyote ile tuwasiliane humu navitafuta sana tena tu
Kama siyo vyote, ila vingi vinapatikana Mkuki na Nyota...Aisee huwezi amini navitafuta kweli hizi ni picha tu
Nilikuwa na hiyo clip ila nimeifyekeleaa mbali....kiishiiii!!Ninaiomba ile clip yake tafadhali
Eposoo!!!Sasahiv ni sinema tu,kwa kwenda mbele
Hiki ni kitabu cha Nne katika mfululizo wa hadithi maarufu duniani kote za Alfu Lela U Lela (au Siku Elfu Moja na Moja) zenye asili ya Arabuni na Uajemi. Masimulizi haya ya Alfu Lela U Lela yametafsiriwa kutoka matoleo ya Kiingereza na Kijerumani. Lugha hizi za Ulaya ndimo zilimotafsiriwa hadithi hizi kwa mara ya kwanza kutoka lugha za Kiajemi, Kiarabu na Kihindi. Tafsiri ya Kiingereza ilifanywa na Sir Richard Burton ambaye anafahamika huku kweta kama mmoja wa wasafiri wa kwanza kutoka Ulaya kutembelea na ati “kuvumbua” sehemu zile walizofika. Tafsiri ya kwanza ya Kiswahili ilifanywa mwaka wa 1928 na katika kufanya hivyo sehemu nyingi zilikatwa au ziliachwa makusudi bila kuzitafsiri kwa sababu wamisionari kawakutaka wasomi wa Kiswahili wasome baadhi ya sehemu kwa sababu zao wenyewe. Matoleo haya, kwa kifupi, ndiyo yenye hadithi kamilifu kwa uhakika; yaani mtiririko wa visa na maana halisi ya hadithi kama zilivyotungwa na kutafsiriwa na magwiji wa lugha hizo mbili zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Kiswahili kina bahati ya kumpata mfasiri, Hassan Adam, Mtanzania mwenye ujuzi wa lugha zote tatu zilizohusika katika kutayarisha tafsiri hizi. Bwana Hassan Adam ni mkufunzi wa miaka mingi katika Taasisi ya Lugha za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Cologne, Ujerumani.Trending the beautiful pastView attachment 882931
Upo serious?Vipo ubungo termnal..buku 5 tu
Pale Tabora kuna bookshop karibu NA mgahawa unaitwa Moyor hotel (sijuwi kama IPO) nadhani unaweza pata maana niliwahi nunua vitabu vya Shaaban Robert kama KUSADIKIKA NA vinginevyo.kwa yeyote mwenye hivyo vitabu kwa gharama yeyote ile tuwasiliane humu navitafuta sana tena tu
Vipo ubungo terminal ukiingia ndani kwa kutumia geti ambalo mabasi yanatokea utavionaAisee huwezi amini navitafuta kweli hizi ni picha tu
Nadhani bado ninavyo hivo vya alfu lela ulela kitabu cha kwanza mpaka cha tano. Pia cha Bulicheka na kina mfalme Huihui wa nchi ya Wagagigikoko.Aisee huwezi amini navitafuta kweli hizi ni picha tu
Mwanri atakuwa navyoAisee huwezi amini navitafuta kweli hizi ni picha tu