Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke, sijui kwa nini watu wanashindwa kuelewa hili.
Cha kufanya mpotezee huyo mwanaume utamsahau tu kila la kheri mwanzo mgumu

that's what my mama used to tell me
 
Ongea na mumeo muende kuiona hiyo familia muongee lazima mtafikia muafaka. That thing can happen to anyone.
 
Je, mume wako hawezi kuwa rafiki yako?

Urafiki sio kitu kibaya, lakini urafiki wako na huyo mume wa mtu unaathiri ndoa ya mwenzako, na sijui ulimuelewaje huyo dada alivyokuambia anatamani mumewe angempenda kama anavyokupenda wewe...ulitakiwa utafakarina kumwambia rafikiyo aonyeshe Mapenzi kwa mkewe.

Mfanye mume wako kuwa rafiki. Huo urafiki na mume wa mtu hautakuwa na mwisho mzuri.
sometime huwa nashangaa ni kwa nini unakuta mume/mke anakuwa mcheshi sana kwa shemejiz au friends wengine kuliko anavyokuwa kwa mwenza wake?kama ni mtu ambaye umedumu na mwenza wako kwa muda utagundua kuwa the way ulivykuwa unamchukulia wakati mnakutana kwa mara ya kwanza ni tofauti na sasa,sijui ni kuzoeana au vipi?huwa namshukuru Mungu kuwa pamoja na vituko vingine vya kawaida katika maisha still naiheshimu sana familia yangu esp ma wife na huwa ninahakikisha kwanza wao wametimiziwa mahitaji yao yote kabla ya mambo mengine.
 
ndo maana niliwekea mabano, inawezekana pia nilishindwa kuielewa maana halisi ila nimeomba ushauri kwa jinsi ilivyo status kwangu na huyu rafiki yangu. hicho unachoita mambo hakipo, naamini hapo utakua umenielewa

pole sana kwa mkasahuo,watu wanashindwa kukuelewa hamna haja ya kuwajibu vibaya let them be,mtumie mumeo anaweza kufaa kwa mazingira hayo atoe ushuhuda wake,mnawezapata pa kuanzia.
 
suprise ilo lililo toke ni wote a kulaumiwa, unajua ata kwa watu wengine huwa inawatokea ata mkiwa jinsia mpo sawa mfano wewe una rafiki wa kike na mmezoea kupita maeelezo ndio msiri wako na ndio mtu wa karibu alafu anatoke mtu mwingine nae anakuwa rafiki wa huyo rafiki yako ule urafiki wenu unaanza kulege ila kwako wewe unajua sababu ni nini,,, my dear fanya ivi kama unamjua huyo dada anapofanya kazi au sehemu anazaopendela kwenda mtafute na muongee nae kwa kirefu na umweleze hatauta kuwa katika yao tena, pia acha mawasiliano na huyo mtu tena. ila ukiona hataki basi kaa nae mbali tu na mkewe.
 
aina nyingine za urafiki inakua shida kuzielewa

hapa hakuna urafiki, this is a kind of a woman who can not get satisfied with one man sexually and emotionally. Emotion ni muhimu sana kwa mume, that is this woman is not married. Huwezi kuwa umeolewa kwa mume unapata sex tu kisha emotions zako ziko kwa mwanaume mwingine. That is prostitution! It can only be done with profession cunts.
 
wewe acha ujinga, huoni wot i fil kwa dada wa watu, nishakwambia nipo tayari shida nifanyaje dada atusamehe, nampigia simu hapokei. acha kujifanya hujawah kosa ukasamehewa.anyway hayo ji mawazo yako, nachukua ya wanaotoa solution kwenye ndoa ya watu

wewe ni aina ya mwanamke msiorizika na mwanaume mmoja sexually and emotionally. Emotion ni muhimu sana kwa mume, kimsingi hujaolewa, ungeolewa emmotions zako zingekuwa kwa mumeo na si kwa mume wa mwanamke mwingine. Huwezi kuwa umeolewa kwa mume unapata sex tu kisha emotions zako ziko kwa mwanaume mwingine. Huo ni umalaya. Acha UPUUZI WAKO WALA HUHITAJI COUNSELLING YOYOTE.
 
ukisoma vizuri btn the lines utajua nimesimama upande gani, acha kujifanya mtoa hukumu

Acha kuharibu ndoa ya mwenzio wewe!! Huoni hata aibu?? Katafute mme wako na uache mara moja mawasiliano na huyo mme wa mtu!! eti friends with benefits!! ulishaona wazungu (unaopenda kuwaiga saaanaa!!) wanafanya hayoo?? Ndiyo maana huwa nasema sumu kubwa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake!!
 
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.

Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.

Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao friends zangu ameoa, nimezoeana nae kupita kiasi inshort i feel happy being with him(naomba niweke kwenye mabano sijashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.

Kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .

Last wiki katika kuchat akatuma message, nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.

mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.

Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.


Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.


Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.

Yani wewe inaonekana unajifanya unajua wakati hauna unachokijua...hauna unachokijua ni kwenye hiyo FRIENDS WITH BENEFIT ambayo maana yake ni kua unaliwa na huyo mume watu lakini with NO STRINGS ATTACHED...kwaio usijofanye mzungu wakati hata unachokisema haukijui reference ni movie ya hiyo title uliyoisema..kama nimekua too judgemental sorry au nimeattack personality sorry maana ni ngumu kiseparate hivyo vitu kwa upande wangu...na haikua nia yangu...Over..!!
 
Suprise pole kwanza, i know your feelings. Hauko peke yako mwaya. Wala hautakuwa wa mwisho.

Ushauri wangu, usijichukie najua ilivyo vigumu kuelezea ulivyo ukaeleweka.

Nadhani mnaishi mji mmoja. Tafuta namna mkutane. Hata kama kwa kuunganishwa na mtu wa tatu, ukiweza kumuomba mmeo akusaidie hapa utakuwa kwenye nafasi nzuri. Funguka, jishushe halafu msikilize anachokitaka.

Baada ya hapo, kubali masharti ya bidada hata kwa shingo upande.

Ikitokea ikawa ukasemehewa jaribu kuextend urafiki kwake. Hivyo vipindi mnapokutana angalau mara moja moja awepo. Muoneshe una mpenzi wewe unayempenda. Usioneshe hata kwa kukubali kwa kutegwa kwamba wewe ni bora kuliko yeye

Kama kikinuka inabidi ukae pembeni, pengine Mungu atakurudishia baadaye.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa siku hizi wakibongo kwa maigizo hamjambo, ni utoto utoto tu, hizo familiazenu mambo ya maendeleo mnadiscuss saa ngapi sijui.
 
We kweli ni surprise hapo ushauri wa kisaikologia wa nini??? are you serious asking for ushauri??? mtafute huyo mwanamke uende na mumeo na mume wake muyaweke sawa acha mbwembwe...
 
Friends with benefits refers to an agreement
between two people who are both friends and
physically attracted to one another to share a
sexual relationship. Neither party is
considered committed to the other, hio ndo definition ya friends with benefit...pili inamaana hukuliona hili kama litakuja tokea..alivyokwambia anataman mmewe akupende kama anavyokupenda wew hukuelewa alichomaanisha???then tittle yako inasema umepewa masharti magumu yapi hayo...my heart goes to that poor lady...Mungu amjalie hili nalo lipite🙁
 
wewe ni aina ya mwanamke msiorizika na mwanaume mmoja sexually and emotionally. Emotion ni muhimu sana kwa mume, kimsingi hujaolewa, ungeolewa emmotions zako zingekuwa kwa mumeo na si kwa mume wa mwanamke mwingine. Huwezi kuwa umeolewa kwa mume unapata sex tu kisha emotions zako ziko kwa mwanaume mwingine. Huo ni umalaya. Acha UPUUZI WAKO WALA HUHITAJI COUNSELLING YOYOTE.

Naungana na wew 100%
 
Acha kuharibu ndoa ya mwenzio wewe!! Huoni hata aibu?? Katafute mme wako na uache mara moja mawasiliano na huyo mme wa mtu!! eti friends with benefits!! ulishaona wazungu (unaopenda kuwaiga saaanaa!!) wanafanya hayoo?? Ndiyo maana huwa nasema sumu kubwa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake!!

Mkuu.....hata wazungu hawana upuuzi huu. Tatizo hapa bongo kuna mijitu mijinga inaishi kwa kufuata uchafu wa Holywood kwa uj.inga wao kama huyu Suprise wanadhani ndiyo maisha halisi. Kwa mzungu mke akiwa na contacts kama alivyosema huyu binti mjinga za mwanaume mwingine ni lazima apigwe talaka tu. NDIYO MAANA NINASEMA HUYU Suprise NI MALAYA TU asiyejua hata maana ya Friend's with benefit. Kwa mwanamke asiye malaya hawezi kufanya ujinga huo.

Friends with benefit NI LAZIMA iwe na sexual relationship..these are the rules...Click here

friend.jpg
 
Back
Top Bottom