Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

nimemuuliza hichohicho, friends with benefit ni benefits zipi tofauti na kuborwa?! friends with benefit ni marafiki ambao si wapenzi lakini huwa wanaponyana wanapohitaji, kisha kila mmoja ana mtu wake. labda mwenzetu hajui au kuna kitu anaficha

Its either Atakua limbukeni huyu dada or kaja kutuenjoy
 
Nimependa sana kama mumeo naye alikuwa anatambua uhusiano wako na huyo rafki yako, Chakufanya apo huyohuyo mumeo muombe akusaidie kwa huyo mke wa friend wako atamuelewa.vema kuliko ww uende kumueleza mwenyewe

Still the QN is anajua maana ya friends with benefits au kalimbukia tu
 
I wouldn't wanna lose my male friends under any circumstances. But if their relationships are affected I would back off.

We mwanamke mumeo ana kitu bora sana maishani
Just mungu akubariki nothing to add
 
friends with benefit maana take ni marafiki ambao wanasaidiana kimwili as in sex ila hawana feelings zozote baina yao

Nadhani huyu Dada limbukeni au hajui maana ya friends with benefits
She just here to enjoy us seriously
N she so proudly call it friend with benefits dah
 
gwijimimi, thanks hun.Nawapenda kweli na najua wananipenda sana but haina maana kuforce kama wake zao hawapo komfotabo!
 
Last edited by a moderator:
Mumeo kilaza.

Wewe kahaba

Rafiki hajielewi.

*mumeo kilaza*haiwezekani akubari urafiki wako wewe mkewe na mume wa mtu eti kisa aliwakuta mkiwa marafiki saana nnachofahamu hakuna urafiki kati ya me/ke.angechimba biti la maana kama kidume then leo ungemletea hizo taarifa ungechezea vitasa.

*wewe kahaba*mwanamke anayejielewa hawezi kuna na mahusiano na mume wa mtu too much mpaka mwenye mume akahisi jambo.alafu ameku alart kikubwa bado unashoboka.huyo mwanume kwa vyovyote vile anakukula.

*rafiki hajielewi*huyo zilipendwa wako alitakiwa ajue muda wake umeisha umeolewa/ameolewa.heshima na adabu ichukue nafasi.otherwise kama mnaendelea kufanya uchafu wenu mbwa nyinyi,msifanye mpaka wenzi wenu wajue(mumeo/mkewe).

Ikikutouch badilika.

9800
 
surprise tafuta friend mwingine achana na huyo kwani utachuma dhambi au yatakupata makubwa...otherwise olewa ili uwe na friend indeed kabisa...
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.

Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.

Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao friends zangu ameoa, nimezoeana nae kupita kiasi inshort i feel happy being with him(naomba niweke kwenye mabano sijashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.

Kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .

Last wiki katika kuchat akatuma message, nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.

mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.

Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.


Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.


Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.
 
Back
Top Bottom