Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

Re: Frends with benefit, nimepewa masharti magumu

quote_icon.png
By HALELUYA MOSHI
ila ki ukweli kuna watu mnajua kuumiza watu huku dunia acha kabisa! kwa nini mnapenda kuact uzungu wakat mnajua fika si wazungu!

hebu geuza shiling dada, chukulia ndo mme wako katuma sms kama hiyo kwa mtu anayemwita rafiki yake, ungesemaje wewe? achane kucheza na mioyo ya watu jaman...! yaan nimeumia kama mimi vile...!

nyie ndo mnaosababishaga watu kujiua au kuanza tabia chafu dunia, FRIEND MY FOOT........!
umenikera kama nakuona



so unaumia kwanini wanagombana! au kwanini dada wa watu kachukia?





















 
afu wewe, ndo maana nilisema mume anauma, ila namhurumia kwa sababu anaumia kwenye hamna, hisia mbaya jamani, hata mimi ningeact the sem, shida moyo wake ushapasuka , kuurudisha nafanyaje jamani.

You have destroyed her happiness... what goes around comes around!
Subiri zamu yako.
 
Yuko sahihi zaidi pengine anaamini hakuna jambo baya linaloendelea lakini lolote huenda likatokea hata hiyo hali ya kutopenda kumkosa huyo jamaa chanzo cha tatizo kwanini unapaswa kuwa katika halihiyo kwa mumeo tu waache wenyewe watengeneze na wewe tengeneza yako ndoa lakini bahati mbaya sana sikuhizi (sio wewe) baadhi ya wadada anampenda mumewe na kuna atakae mpenda kwakua anamchekesha !
 
Re: Frends with benefit, nimepewa masharti magumu

quote_icon.png
By HALELUYA MOSHI
ila ki ukweli kuna watu mnajua kuumiza watu huku dunia acha kabisa! kwa nini mnapenda kuact uzungu wakat mnajua fika si wazungu!

hebu geuza shiling dada, chukulia ndo mme wako katuma sms kama hiyo kwa mtu anayemwita rafiki yake, ungesemaje wewe? achane kucheza na mioyo ya watu jaman...! yaan nimeumia kama mimi vile...!

nyie ndo mnaosababishaga watu kujiua au kuanza tabia chafu dunia, FRIEND MY FOOT........!
umenikera kama nakuona



so unaumia kwanini wanagombana! au kwanini dada wa watu kachukia?





















ma dr nimeumia kumuumiza kwa hisia ilhali cjafanya lile analolifikiria kwa mmewe, naumia tena natafuta how to reconcile amenichukia hataki kuonana na mimi,
 
You have destroyed her happiness... what goes around comes around!
Subiri zamu yako.

sikaa ndugu kama cjafanya kwa kukusudia kumuumiza cdhani kama kuna baya litanipata kupitia hiyo wot goes around
 
Yuko sahihi zaidi pengine anaamini hakuna jambo baya linaloendelea lakini lolote huenda likatokea hata hiyo hali ya kutopenda kumkosa huyo jamaa chanzo cha tatizo kwanini unapaswa kuwa katika halihiyo kwa mumeo tu waache wenyewe watengeneze na wewe tengeneza yako ndoa lakini bahati mbaya sana sikuhizi (sio wewe) baadhi ya wadada anampenda mumewe na kuna atakae mpenda kwakua anamchekesha !

thanks atlist unaweza elewa, namuelewa anavyojiskia ila sasa ananipa wakati mgumu,
 
umeanza kuangukia pua, as we all know, gravitational is not responsible for people falling in love.
 
wewe acha ujinga, huoni wot i fil kwa dada wa watu, nishakwambia nipo tayari shida nifanyaje dada atusamehe, nampigia simu hapokei. acha kujifanya hujawah kosa ukasamehewa.anyway hayo ji mawazo yako, nachukua ya wanaotoa solution kwenye ndoa ya watu

I pray huyo dada atafute mabounza wakubake na kutawanya picha ili was.henzi kama wewe mkome.
 
nina mume na kaniambia nilikuonya hukunisikia, yamekukuta.
kuna kipindi ilitokea hivyo kwangu bt mme wangu nilipomhadithia hakuniamini akafanya utafiti kwa mda wake akaja gundua hakukua na kinachoendelea, na akanionya si kila mtu ataweza elewa

Huyo sio mme wako, atakuwa kaka yako au mko kibiashara sio ki mme na mke.
 
Suprise mi naomba unipe kontakti za mke wa huyo frendi wako wisi benefits...

Nina mpango na mimi kumfanya awe mai frendi wisi e loti of benefits...
 
Last edited by a moderator:
Heee bi dada km kweli unataka kumpotezea ww mpotezee tuu huyo mume wa mtu mkewe atajua siku za mbele waaache na wapotezeaa kabisaaa akijua mungu kwamba huna habar ya huyu mume wake inatosha dada yangu labda nikwambie kitu moja hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke kinachofata baadae ni kudondokea kwenye mahaba urafik wa mwanaume na mwanamke unakuja kwa reason mnafanya kazi pamoja urafiki unakuwa kazini hata kusaidiana inaingia akilin, au urafiki mko chuo kimoja mnaasaidiana katika masomo lkn urafiki usiokuwa na chanzo mama wenye mashiko hauna mwisho mwema

Urafiki na Mwanaume kwa mtoto wakike ni km chatu hana sumu ya kukuadhiri hapo kwa hapo ukiwa mbali aaah hatokufanya kitu ila ukijisogeza hakuna mwisho mwema atakukumbatia na kukuvunja na kukufanya kitoweo dont play na mume wa mtu leave them alone
 
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.
Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.


Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao mafrend zangu ameoa , nimezoeana nae kupita kiasi inshort i fil happy being with him(naomba niweke kwenye mabano cjashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .


Last wiki katika kuchat akatuma message , nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.
mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.
Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.


Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.


Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.

Dada kabla hujafanya kitu jifikirie kama n.wewe unafanyiwa hayo ungejiskiaje ndugu yako
 
muhimu omba msamaha muweke kapuni mume wa watu ...... utakuta jamaa ampe mke wake haki yake ipasavyo
 
hiv kwel unajua mtu ana mke na ww n sababu ya ugomv wao stil unamwta friend wth benefts?mume wa mtu?kwel jamn embu tufke wakat tuwe na utu wanawake na tujue choz analolia mwenzio utalpwa to in one way or another
 
Thanks Elli, mume wangu ni rafiki yangu, huyu rafiki nimekua nae mda mrefu sana before hatujaingia ndoani , lakini hili haikujustify tusiheshimu ndoa zetu. ndio maana nilisema tunakutana au kusaidiana weneva mazingira yanaruhusu na si kudisturb hali ya hewa ya ndoa zetu, kiukweli mkewe yupo sahihi kabisa natamani tu atusamehe then niache ainjoy ndoa yake.
Rafiki yangu anampenda sana mkewe kwa uelewa wangu the way namuona basi tu wanasemaga arobaini ikitimia
Mara nyingi urafiki wa utotoni hupungua au kuisha kabisa pale walengwa wanapooa au kuolewa. Kwa hiyo hata nyie(wewe na huyo rafikiyo) hamna budi kupunguza au kuvunja urafiki wenu ili kujenga familia mlizoanzisha.

Talk to her. Apologize to her and stay away from your friend.
 
....wanaume wote waliojaa duniani ukaona mume wa mwenzio ndio anafaa kuwa friends with benefit wako?

kwanza ushukuru mke wa huyo jamaa mstaarabu, mwingine mngekuwa mshagawana majengo ya serikali

halafu mijanaume mingine hovyooooo


pole sina ushauri wa kukupa maana unajua ulichokifanya na kama umehalalisha u-benefit
 
Back
Top Bottom