Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Hello ...
Ni mwaka wa tano sasa tangu nianze maisha mapya nikiwa mama mwenye mtoto wa kiume wa miaka tano, Namshukuru Mungu baba yake amekua mstari wa mbele kumhudumia wheneva he is needed, najuta kufanya makubaliano nae before aliniambia hana muda na mimi ila anamjua mtoto wake, nikajibu kwa jeuri sina shida na wewe ukiamua lea mwanao lea , basi ikawa hivyo mtoto akawa chini yangu, .
Sasa baada ya miaka 2 akatokea mwanaume nikamdanganya before baadae akagundua nina mtoto akaniacha.
Nikapata mwengine alionyesha kunipenda sana siku nikampeleka kwangu nikamwambia nataka nikupe ukweli wa maisha yangu, nna mtoto , akasema hongera baada ya mda akaaga jumla, tukaishia hapo,
Sasa nimepata rafiki mwenye interest nami, hatujafika mbali naogopa kumpa go ahead cos sijajua nini hatma ya mwanangu, ndoa naitamani mtoto namtamani,
Nimempigia baba yake ananitusi eti kuna watu wanatafuta watoto me naona mtoto kikwazo, basi mchukue,anasema nikimpa mtoto hataki kuniona naenda muangalia sababu alikua anamgharamia nikashindwa kaa nae,
Nishaurini jamani juu ya kuhandle mtoto , mzazi mwenzangu, na mahusiano au mume mtarajiwa
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.
Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.
Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao mafrend zangu ameoa , nimezoeana nae kupita kiasi inshort i fil happy being with him(naomba niweke kwenye mabano cjashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .
Last wiki katika kuchat akatuma message , nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.
mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.
Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.
Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.
Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.
ma dr nimeumia kumuumiza kwa hisia ilhali cjafanya lile analolifikiria kwa mmewe, naumia tena natafuta how to reconcile amenichukia hataki kuonana na mimi,
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.
Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.
Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao friends zangu ameoa, nimezoeana nae kupita kiasi inshort i feel happy being with him(naomba niweke kwenye mabano sijashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.
Kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .
Last wiki katika kuchat akatuma message, nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.