Kuna aina nyingine za urafiki huwa sioni umuhimu wake...!
Ukamgande mume wa mwenzio kisa urafiki!!!
Yani wewe inaonekana unajifanya unajua wakati hauna unachokijua...hauna unachokijua ni kwenye hiyo FRIENDS WITH BENEFIT ambayo maana yake ni kua unaliwa na huyo mume watu lakini with NO STRINGS ATTACHED...kwaio usijofanye mzungu wakati hata unachokisema haukijui reference ni movie ya hiyo title uliyoisema..kama nimekua too judgemental sorry au nimeattack personality sorry maana ni ngumu kiseparate hivyo vitu kwa upande wangu...na haikua nia yangu...Over..!!
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa sababu mume anauma jamani.
Ni hivi sijui hata nianzie wapi ila nahisi nimemuumiza mwanamke mwenzangu kwa hisia .nasema kwa hisia sababu cjafanya kila anachonihisi nimefanya kwa mmewe sema tu ushahidi haujatosha kua upande wangu.
Nimezoea kuwaita frends with benefit, sasa mmoja wa hao friends zangu ameoa, nimezoeana nae kupita kiasi inshort i feel happy being with him(naomba niweke kwenye mabano sijashiriki nae since nijuane nae coz hicho hakijasababisha urafiki wetu, tunasaidiana sana naweza sema ananisaidia kuliko mimi nimsaidiavyo, ananipa kampani ya kutosha kila mazingira yakiruhusu.
Kiukweli ni rafiki yangu ambaye yupo moyoni naweza sema .
Last wiki katika kuchat akatuma message, nimekumis mpenzi wangu nowadays majukum ya familia yanatubana ila tujitahidi tukipata nafasi tuonane. Utaniambia mda wako.on ma way home.
mkewe anafaham uwepo wangu kama rafiki wa mmewe bt i wonder y imemuumiza kipindi hiki amemwambia mme wake basi awe anakuja kwangu daily kwake basia ye atatafuta atakayemthamini.
Niwarudishe nyuma kuna kipindi alinipigia simu akaniambia dada natamani mme wangu angenipenda kama anavyokupenda wewe, kiukweli naumia natamani anielewe uhusiano wangu na mmewe ukoje ila pia upande wa pili nahisi ni mkosaji.
Sasa ugomvi kwao umekua siku ya tano sasa, mme wake kaniomba nifanye juu chini nimtafute mkewe nimwambie juu ya hilo atusamehe. Nimeamua kumfuta huyu frend with benefit kichwani mwangu ingawa pia itanichukua mda kukubaliana na ukweli.
Naomba mawazo nifanyaje bi dada aweze kutusamehe na kurudisha moyo kwa mmewe.
Do u even know the meaning of friends with benefits au u just practicing smtng u don't even know?
Knwoladgw muhimu jamani
nimemuuliza hichohicho, friends with benefit ni benefits zipi tofauti na kuborwa?! friends with benefit ni marafiki ambao si wapenzi lakini huwa wanaponyana wanapohitaji, kisha kila mmoja ana mtu wake. labda mwenzetu hajui au kuna kitu anaficha
Don tell me
hahaha, ukiskia mumeo anaye friend with benefit ujue umeumia..hahah!
Ntaua mtu wallah hakuna.cha frend with benefit uliona wapi urafik wa kawaida wa mwanae na mwanamke hapo namulika mwizi.tu
hahahaa, punguza hasira, ukiona manyoya....!
Amin..!Ahhhhha mungu atatuepushia mbali
Amin..!
ila ki ukweli kuna watu mnajua kuumiza watu huku dunia acha kabisa! kwa nini mnapenda kuact uzungu wakat mnajua fika si wazungu!
hebu geuza shiling dada, chukulia ndo mme wako katuma sms kama hiyo kwa mtu anayemwita rafiki yake, ungesemaje wewe? achane kucheza na mioyo ya watu jaman...! yaan nimeumia kama mimi vile...!
nyie ndo mnaosababishaga watu kujiua au kuanza tabia chafu dunia, FRIEND MY FOOT........!
umenikera kama nakuona
Sorry but wewe ni mpumbavu sana....marriage is a relationship between wife and husband, you have destroyed that relationship kisha eti unahitaji psychologist wa kukushauri.....you are only alive because it is illegal to kill you.