Friend Request from JK

Friend Request from JK

muache kwanza ang'aze sura mpaka 2015 ndo utaijibu hiyo request
 
Kama ni ww utafanyaje?
1- confirm?
2-Delete request?
3-Ignore?

Mh! Mzee Boflo unavuka mipaka...unajua humu JF wengi wao ni km hawa wa 60% Ata ungewawekea mama zao still wange comment the way wanavyocomment...Ata comment za mtu unapata picha harisi ya 60% zake
 
Delete a request and block a stranger.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Navunja simu kabisa huo upuuzi ukiibuka kwenye simu yangu...

Kama ni computer naimwagia BIA. Inataka kuniunganisha urafiki na DHAIFU???
 
Mbona hamumpendi prezidaaa??
2005...wengi humu mlicheza mdundiko kushangilia ushindi wake
Wabongo bana...
 
Confirm with condtion ya ukuuu wa wilaya ama ubunge wa kuteuliwa
 
hahah nice one! confirm af nakua nampa ukweli kwenye wall kwenye message n.k
 
It will be fun kuwa rafiki yake. Kusoma akili yake nyembamba.
Japo its not him really, nadhani watu wanajiwekea tu
 
Mimi nili confirm aliposema WANAFUNZI WANAPATA MIMBA KWA VIHEREHERE akaniudhi nikam unfriend afu nikampiga biti asitume tena friend request kwangu
 
Back
Top Bottom