Friday the 13th - Ni kesho nini?

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
189
Friday the 13th is considered a day of bad luck in English-, French- and Portuguese-speaking countries around the world, as well as in Austria, Germany, Estonia, Finland, The Netherlands, Belgium, Republic of Ireland, Poland, Bulgaria, Denmark, Iceland, Sweden, Norway, Czech Republic, Slovakia, Slovenia, and even the Philippines .

A British Medical Journal study has shown that there is a significant increase in traffic-related accidents on Fridays the 13th.

Will you stay at home tomorrow?

Why Friday the 13th Is Unlucky..
 
Wazungu wanatushumu waafrika kuwa ni washirikina, wakati nao wana ushirikina wao.
 
That is actually being very superstitious.I dont beleive it.
 
This tradition started with the annihilation of the Knight Templars, pure superstition.
 
duh kumbe uchawi uko kila angle ya dunia...lakini kwa vile huu uko uzunguni utasikia ni mambo ya kisayansi ila ingekua ni watu wa africa wanatalk hivyo abt this dat tungesikia ooh waafrica tumejaa uchawi ndio maana hatuendelei!!sasa kama ni tarehe hiyo mbona wengine tumeshafika ila nothin kama mwisho wa dunia kimetokea?!
mwisho wa dunia ba ndugu ni ile siku yako mwenyewe ukipeana talaka na dunia!
 
Duh sasa inabidi ku-call in job na kuminya ndani siku mzima, maanake uwezi jua nini kitatokea huko mitaani....
 
Duh sasa inabidi ku-call in job na kuminya ndani siku mzima, maanake uwezi jua nini kitatokea huko mitaani....

...maazee, 'ndani' ndio ogopa kabisa!!! ...electrical sockets, ...any loose wires somewhere in case of being electrocuted?...

...watch out for that ceiling fan above your head, are you sure the electrician fixed the right screws?

...halafu wanasema earth platonic plates sometime zinasogea, ...in case of 7. Point magnitude of anything make sure you know the right exit/escape route!!!

Btw, most accidents happens within a mile from your house!!!

Dont Blink!!!, utauwawa buree...
 
...maazee, 'ndani' ndio ogopa kabisa!!! ...electrical sockets, ...any loose wires somewhere in case of being electrocuted?...

...watch out for that ceiling fan above your head, are you sure the electrician fixed the right screws?

...halafu wanasema earth platonic plates sometime zinasogea, ...in case of 7. Point magnitude of anything make sure you know the right exit/escape route!!!

Btw, most accidents happens within a miles from your house!!!

Dont Blink!!!, utauwawa buree...

Hii sasa ni kasheshe...

Lakini mimi bado naamini kuwa nyumbani ndio sehemu salama kuliko zote. Angalau home unaweza kujifisha chini ya kitanda, kwenye basement, na hata bafuni.

Huko nje hatari ndio maradufu zaidi. Unaweza kugongwa hata na baskeli, halafu ikawa balaa. Au uchelewi kukanyaga nyanya za watu kwa bahati mbaya, halafu ukagombaniwa kama mpira wa kona vile.

Hapana Aisee, nyumbani ndio salama
 
...na hizi ~Breaking-Newzzz~ za JF, thread ya kwanza tu :eek: puuuu, chini! ...shinikizo la damu!

all am gonna do tomorrow is kneeling and pray... ikishavuka (this time-> )13:06:08 ndiyo nitafungua tena JF,

msiponiona, :( mnh!!!
 
nasubiri kwa hamu with the budget kuendelea kubana na maisha kuendelea kua magumu bora YALIYOMO HUMU (ndani ya posts zenu ) YAWEMO....!
 
....mbona kuna watu nawadai wataweza kunilipa kabla ya hiyo kesho kweli???? Duh! haojatulia kabisa!!!
 
jamani ninaomba nifafanulieni vizuri nini kinaendelea juu ya hii tarehe? maana nimezaliwa tarehe hii !! msaada kwenye tuta wajameni ung'eng'e kwangu haupandi kabisa
 
Friday the 13th is considered a day of bad luck in English-, French- and Portuguese-speaking countries around the world, as well as in Austria, Germany, Estonia, Finland, The Netherlands, Belgium, Republic of Ireland, Poland, Bulgaria, Denmark, Iceland, Sweden, Norway, Czech Republic, Slovakia, Slovenia, and even the Philippines .

A British Medical Journal study has shown that there is a significant increase in traffic-related accidents on Fridays the 13th.

Will you stay at home tomorrow?

Why Friday the 13th Is Unlucky..
Friday 13th not more unlucky, study shows Thu Jun 12, 12:03 PM ETAMSTERDAM (Reuters) - Unlucky for some? Dutch statisticians have established that Friday 13th, a date regarded in many countries as inauspicious, is actually safer than an average Friday.

ADVERTISEMENT

A study published on Thursday by the Dutch Centre for Insurance Statistics (CVS) showed that fewer accidents and reports of fire and theft occur when the 13th of the month falls on a Friday than on other Fridays.

"I find it hard to believe that it is because people are preventatively more careful or just stay home, but statistically speaking, driving is a little bit safer on Friday 13th," CVS statistician Alex Hoen told the Verzekerd insurance magazine.

In the last two years, Dutch insurers received reports of an average 7,800 traffic accidents each Friday, the CVS study said. But the average figure when the 13th fell on a Friday was just 7,500.

There were also fewer incidents of fire and theft, although the average value of losses on Fridays 13th was slightly higher.

(Reporting by Tineke van der Struik; Editing by Catherine Evans
 
funny it has been my luckiest day i have pocketed some few kwacha's am on top of the world today
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom