Masinki Nyansarari
Senior Member
- Nov 24, 2018
- 142
- 98
Hashtag yetu kwa sasa ni #Membe2020# unatuchezea sisi nyumbu's tusiojielewa????
Yeah! Nimeona #TanzaniaDaima limeanza kumpigia chapuo....mchawi wa chadema yupo ndani ya ChademaNasikia Membe ndiyo anakuja kuinunua Sacco's yenu
Hahahahahh...Bwana mdogo Chahali,hujulikani uko upande gani,unajitahidi sana kuficha rangi yako halisi lakini wapi,jua Kali linakuumbua mapema tu,hakuna atakayekutukana kwa kuchapia kwako.Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?
I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.
On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.
Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."
Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.
Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Kwahiyo ukimya wenu matokeo yake nini nini mkuu?Nilikuwa najaribu kukuangalia na kukupima ni mtu wa kaliba gani, ila baada ya kusoma post hii nimekuweka katika daraja jingine kabisa.
Acha kukebehi ukimya wa watu! In sawa na kwenda msibani na kuwaambia wafiwa mbona hamlii Kwa sauti au hamjali msiba?
Yaani unatuita siye mbwa? Aisee mse*nge sana wewe jamaa,eti ulipikwa ukapikika na nani? na hao idara uchwara wanaokamata hadi wauza kahawa? You're real a blessed bastardMnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Chahali ni ibilisi mkubwa and he will pay the priceWewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.
Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.
Mnafiki mkubwa!!
Apande hapo ghorofani anapokaa kuna kibabu kimejinyea akitawaze apate ujira then aje kuwalaumu Wanachadema. Kwake anachotendewa Mbowe na Matiko ni sahihi ila Chedema hawajachukua hatua . Pambaf....Kweli huyu nami simuelewi. Huyu ni nyoka, kuweni macho naye! Evarist Chahali rudi nyumbani upambane, upigwe risas kama Lisu. Usiwasakizie wenzako. Mazingira sasa ni magumu, DCM needs not produce dead heroes. CDM needs to be strategic and if possible not to lose life! Kama vipi, Evarist Chahali anzisha armed strugle kama ni rahisi kama unavyoandika! Si uko nje hutaguswa, lianzishe basi!
Leo nyumb**** wanamkataa jasusi wao mbobezi hahahahahahah.Jasusi uko vizuri sema tu bavicha hawataki kuambiwa ukweli.
Ametelekezwa kivipi sijakuelewa.Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Naona kama unaongea pumba tu.sasa kama unafahamiana na Mbowe umemsaidiaje kutoka gerezani? Halafu kingine sijakuelewa ulikuwa unataka wanachadema tufanyaje ili kumtoa mbowe gerezani? Nijibu kwanza hayoKejeli au nafsi inakusuta kwa sababu mmemtelekeza Mbowe? Na bora mie mnafiki ninayediriki kusema kwa Kejeli kuliko mnafiki wewe uliyekaa kimya.
Hivi kuna tofauti gani kati ya udikteta wako na huo wa Jiwe mnaolalamikia?
Kwa taarifa yako, Mbowe is my good friend. Tunafahamiana. Does he even know you mganganjaa?![]()
Mkuu kumbuka huyu ni jamaa wa kitengo
Huyu Julian Asanje wa CCM anawapotezea move watu na ndiye alishiriki kutuletea jiwe madarakani ila mkate wake ulipopigwa panga anajifanya mpinzani wa jiwe. Njaa mbaya na haina adabuWewe ni mnafiki mkubwa!
Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.
Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.
Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Kama wewe kidume njoo upambane ukiwa humu nchini kama hao kina Mbowe na sio ukiwa umejifungia kwenye kachumba huko katika nchi za watu.
huendi mbinguniMnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?