#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?

I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.

On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.

Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."

Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.

Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Chahali huna tofauti na maiti , huna unachokipigania ,huna faida hata kwa shetani , kwa kweli ni hasara kubwa sana kwa wazazi wako
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Mkuu kumbe na wewe una lugha kali namna hii! Rudi kwenye lugha za kistaarabu hata kama umekasirika unaharibu haiba yako namna hiyo. Hujasoma Mithali 26:4?!
 
Wewe ni mnafiki mkubwa!

Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.

Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.

Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Huyu jamaa snitchhh
Alafu naona sahv anajipendekeza Aweze arudi naona kachoka kubeba mabox hko

Ova
 
Wewe ni mnafiki mkubwa!

Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.

Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.

Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Huyo anatumika siku hizi ni wakumpuuza. Ilikuwa njaa watu wakafika bei. Hana tofauti na wale....
 
Wewe ni mnafiki mkubwa!

Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.

Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.

Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.

Na Mange nae amehongwa usd 350 ,000 na Lugumi sio?
 
Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.

Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.

Mnafiki mkubwa!!
Aje basi bongo kama anaweza.....
Ndomana kule walimtema maana kigeugeu
Naona kuona rais anafanya teuzi na yeye anataka jaribu bahati yake kachoka kubeba box hko

Ova
 
Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.

Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.

Mnafiki mkubwa!!

Kejeli au nafsi inakusuta kwa sababu mmemtelekeza Mbowe? Na bora mie mnafiki ninayediriki kusema kwa Kejeli kuliko mnafiki wewe uliyekaa kimya.

Hivi kuna tofauti gani kati ya udikteta wako na huo wa Jiwe mnaolalamikia?

Kwa taarifa yako, Mbowe is my good friend. Tunafahamiana. Does he even know you mganganjaa?
 
Andika kwa kutumia aidha Kingereza ama Kiswahili. Vinginevyo ujumbe wako hauna uzito kihivyo kiuweledi. Ni kama hoja ya mlevi wa kawaida akiwa pub.
Achana na huyo jamaa.Mtu unaguswa na manyanyaso ya wapinz
Kejeli au nafsi inakusuta kwa sababu mmemtelekeza Mbowe? Na bora mie mnafiki ninayediriki kusema kwa Kejeli kuliko mnafiki wewe uliyekaa kimya.

Hivi kuna tofauti gani kati ya udikteta wako na huo wa Jiwe mnaolalamikia?

Kwa taarifa yako, Mbowe is my good friend. Tunafahamiana. Does he even know you mganganjaa?
Njoo huku upambane tukuone na sio kujificha huko Ulaya.
 
Athari ya manyanyaso na ukandamizaji unaoendelea yataonekana sio kwa hastags au maneno mitandaoni. Achana na mdudu asiyejulikana mbele yake wapi na nyuma yake wapi. Tumeshamjua
Nafsi zinawasuta. Mmemtelekeza Mbowe kisa Membe. Yaleyale ya Dokta Slaa kwa Lowassa.

Halafu nyie matusi jadi yenu. Mlimtukana Dkt Slaa sembuse sie tunaowakumbusha tu kuhusu kadhia ya Mbowe na Matiko?
 
Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?

I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.

On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.

Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."

Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.

Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
walikuwa wanatafuta kiki kwa kuvunja sheria, na kama wangeachiwa wangejitapa kuwa serikali inawaogopa na sasa wanashighuriwa wanaanza kulalama na wanachama wao wameshawastukia kuwa ni 'wasanii' na ndio maana wameamua kukaa kimya.
 
Wewe Chahali, kama maisha ya ukimbizi yamekushinda rudi bongo tu siyo mpaka ujipendekezependekeze!, na ukirudi lazima wakunyooshe kwa sababu wewe ni coward!

Sasa kwako chenye maana ni kipi, kuanzisha mada ya lawama kwa wanachadema kwamba hawajaanzisha hashtag ya #FreeMbowe au Kuanzisha mada kuwataka waliomshikilia Mbowe wamuachie huru?.

Cowards kama nyinyi huwa mko mbio kulaumu Victims badala ya Kulaumu wenye kutenda dhuluma!

You are out of your mind, nadhani ndiyo maana hata Mange alikuona uko out of your mind
Vyuma vilivyobana huko Tz, si ajabu nawe watamani ungekuwa mkimbizi japo South Sudan kama sio Somalia
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Huna lolote!!!Hoja ya msingi njia ya kupambana na jiwe!!!Silence mean something!!
 
uko sahihi sisi wafuasi wa upinzani hatuna ushirikiano na viongozi wetu. haiwezekan viongozi wakubwa mfano mbowe kuwa gerezani harafu mtandaoni tumejaza habar za membe. yaan et habar kubwa ya nchi iwe ni membe kugombea urais na sio mbowe kuwa jera. sisi tumelogwa.
Na sio ushirikiano tu, bali pia kasumba ileile tunayolaumu kuhusu CCM: Ukikosoa tu unakuwa umenunua ugomvi.
 
Back
Top Bottom