#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Huyu alikuwa shabiki namba moja wa jiwe, maslahi yalipoguswa akawa mbogo, sasa kapetiwapetiwa anadhani anapendwa sasa kama Bashite.
Wanamlia timing tu ajae katika anga zao wamnyooshe!. Muache ajipendekezependekeze tu kwa kudhani kuwa wamemsamehe!. Bado hajasamehewa!
 
wapo busy na MEMBE 2020 mpaka wamemsahau mwenye kigoda wao.... ni kama tu walivyokuwa busy na lowasa 2015 wakamsahau jembe lao dk slaa....
 
Acha Tabia Za James Delicious
Wewe ni mnafiki mkubwa!

Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.

Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.

Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.

Kama wewe kidume njoo upambane ukiwa humu nchini kama hao kina Mbowe na sio ukiwa umejifungia kwenye kachumba huko katika nchi za watu.
 
Huyu MTU sio wa kumsikiliza siku hizi maisha yamemshinda anajipendekeza ili arudi home,
 
Mnafiki mkubwa ni nyie mbwa mliomtelekeza Mbowe. At least mie naweza kutoa excuse ya "najipendekeza kwa Jiwe kwa sababu ya njaa zangu." Do you have any excuse ya nyie kumtelekeza Mbowe na Matiko?
Ushaonekana mnafiki hakuna akuaminiye siku hizi,we muombe msamaha DAB urudi kuisoma no home.2020 utakuwa uchaguzi mgumu kuliko nyakati zote,pia siasa sio static kama mathematics jibu lzm liwe moja,siasa ni akili ya kucheza na upepo,hana assure ya 100% kushinda au kutoshinda itategemeana na upepo.
 
Kwasasa hakuna Dira ya nini kifanyike Chadema. Naona Zitto anajaribu kuondoa hilo ombwe kuokoa jahazi.
 
Huyu alikuwa shabiki namba moja wa jiwe, maslahi yalipoguswa akawa mbogo, sasa kapetiwapetiwa anadhani anapendwa sasa kama Bashite.
Wanamlia timing tu ajae katika anga zao wamnyooshe!. Muache ajipendekezependekeze tu kwa kudhani kuwa wamemsamehe!. Bado hajasamehewa!
Shetani hana msamaha ajipendekeze tu wanae
 
bwana everist hiv kwa nini usianzishe course online ya ujasusi na uachane na hawa wanaharakati uchwara akina salary slip ambao hawatoi ushauri nini kifanyike kuyazuia haya maagizo kutoka juu kufanya kazi
Kumbe huyu jasusi Uchwara kashapata wajinga wachache mnaomsujudia kama Mungu,duh eti anzishe kozi ya ujasusi online,hivi wewe una akili timamu kweli?ujasusi upi unaoungelea wewe,labda kozi ya udaku na kutunga visa vya uongo.
 
Mkuu kumbe na wewe una lugha kali namna hii! Rudi kwenye lugha za kistaarabu hata kama umekasirika unaharibu haiba yako namna hiyo. Hujasoma Mithali 26:4?!
Tangu lini akawa na haiba?huyo ana frustration ya Maisha
 
Jamaa kweli jazba zimezidi, maisha. Kwenye siasa wamekuwa kama Kenge aliyekabwa na yai la kuchemsha. 2015 walitupiwa moja (Mamvi). Mida hii wajanja wa kijani wanawachemshia lingine ( linaitwa Mango). Full kuumizana na mwenyekiti wamemsahau.
CCM magenius sana. Wanaunda controllable criticism na upinzani wanashangilia kweli! Mtu kama JJ Mnyika anajua kila kitu ila hana cha kubadili kwasasa.

Hata sakata la Membe ni mkenge mwingine wanaenda kuuvagaa wapinzani alafu wananchi waadhibu kwa kukosa wabunge 2020.
 
Huyu jamaa snitchhh
Alafu naona sahv anajipendekeza Aweze arudi naona kachoka kubeba mabox hko

Ova
Sasa hivi yupo kwenye payroll ya Jiwe,muda si mrefu wanamuweka mtego wa kurudi Bongo na akithubutu tuu wanamla kichwa.
 
Kejeli au nafsi inakusuta kwa sababu mmemtelekeza Mbowe? Na bora mie mnafiki ninayediriki kusema kwa Kejeli kuliko mnafiki wewe uliyekaa kimya.

Hivi kuna tofauti gani kati ya udikteta wako na huo wa Jiwe mnaolalamikia?

Kwa taarifa yako, Mbowe is my good friend. Tunafahamiana. Does he even know you mganganjaa?
Wewe ngumbaru kila mtu unamfahamu,acha kujipendekeza utakuja kushikwa masaburi.
 
Nafsi zinawasuta. Mmemtelekeza Mbowe kisa Membe. Yaleyale ya Dokta Slaa kwa Lowassa.

Halafu nyie matusi jadi yenu. Mlimtukana Dkt Slaa sembuse sie tunaowakumbusha tu kuhusu kadhia ya Mbowe na Matiko?
Kwa hiyo hizo hashtag ndio zitamuondoa Segerea,kweli wewe ni Popoma ulietukuka,badala ya kumwambia Jiwe anaekulipa amwachie eti unataka hashtag ndio zimtoe Gerezani.
 
Haiwezekani mtoto mbichi kama huyu anasota rumande halafu kina kibajaji wapo uraiani
Basi nichukueni mimi bwana nikae ndani uyo mrembo awe huru
IMG_20181209_110228.JPG
 
Thread ina povu lita buku ....acha sie tuendelee na udobi
 
Back
Top Bottom