ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Aaaa wapiMkuu Vipi tutaenda kumwangalia Kamanda wa Anga siku ya Uhuru?
Mpaka atumiwe nauli na dj
Kama hakuna nauli ni mziki wa membe
Aaaa wapiMkuu Vipi tutaenda kumwangalia Kamanda wa Anga siku ya Uhuru?
TWENDE NA MEMBE View attachment 960732
Kiti kiko waziHata Lisu sijaona hata neno lake kuhusu kilichotokea kwa hao jamaa.
Ujumbe umefikaTWENDE NA MEMBE View attachment 960745
Ujumbe umefika
Kiti kiko wazi
Chadrama mcharuko mizee ya matukio kwishney
Chahali we ni great thinker n utaendelea kuwa my role model in my daily life approchment, ki msingi Chahali anahoja hata kama provision angle yake itakuwa in balance cha muhimu ni ku deal na hoja ya msingi lather than kumlaumu az if kuna ma lay men yanaomba akina mbowe waendelee kusota rumande
Wewe ni mnafiki mkubwa!
Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.
Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.
Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Kama wewe kidume njoo upambane ukiwa humu nchini kama hao kina Mbowe na sio ukiwa umejifungia kwenye kachumba huko katika nchi za watu.
Ni wapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza wasiotaka uwapinge na wanaugonjwa sugu wa kulazimisha upende wanachopenda wao.Makamanda huwa hawataki hata siku moja uwakosoe. Wao ni malaika, leo chahali ataoga matusi hadi akome
Wewe chahali tunafamu kuwa wewe ni daudi balali unatafuta kiki kupitia wanasiasa kama mbowe na matiko kuongeza followers huko inst in a mange voice wewe endelea kukaa huko glaskow uskochi ubebane na mabox kwenye supermarket upate kulaKwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?
I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.
On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.
Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."
Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.
Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Kwanini ya chadema yanawakera na hali yakuwa ndio vicheko kwenu kwa kuwekwa ndani viongozi WA upinzani?Kejeli au nafsi inakusuta kwa sababu mmemtelekeza Mbowe? Na bora mie mnafiki ninayediriki kusema kwa Kejeli kuliko mnafiki wewe uliyekaa kimya.
Hivi kuna tofauti gani kati ya udikteta wako na huo wa Jiwe mnaolalamikia?
Kwa taarifa yako, Mbowe is my good friend. Tunafahamiana. Does he even know you mganganjaa?![]()
Yaani wanaacha kumpigania Mbowe wanampigania Membe. Yaani hawa jamaa sijui nuts zimelegea humo kichwani?Hebu waache hao wanyama wa serengeti wanapumzika pia wako busy na mgombea wao Membe! Hujaiona hashtag yao ya #Kazinabata?!
MKIMBIZI NA MCHUMIA TUMBO CHAHALI KATIKA UBORA WAKEWewe ni mnafiki mkubwa!
Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.
Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.
Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Kama wewe kidume njoo upambane ukiwa humu nchini kama hao kina Mbowe na sio ukiwa umejifungia kwenye kachumba huko katika nchi za watu.
Sasa hivi mko na Membe ama siyo bwana? Mbowe ni nani mbele ya Membe kumtoa Magu 2020Wewe ni mnafiki mkubwa!