Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,456
- 2,191
Huyu Dada Mbona Anapata Huduma zote muhimu
Hapana nigger umeni quote sivyo "an example is not anumber"You said above she is a culprit
Wazee wa wazifa muachieni huyo mrembo mi nipo tayari kwenda selo
Huyu Dada Mbona Anapata Huduma zote muhimu
Dah itabidi 2020 tumpooze na umakamu wa rais au uwaziri wa fweza..
Hapa tz polisi hukamata wake/mama wa watuhumiwa ili kushurutisha ndugu wanao tuhumiwa wajitokeze.Katika sheria "one can't serve punishment on behalf of a culprit or suspect"....
View attachment Mwl Christopher Mwakasege achaluka asema amani ya nini Tanzania huku tukiteseka_.mp4Haiwezekani mtoto mbichi kama huyu anasota rumande halafu kina kibajaji wapo uraiani
Basi nichukueni mimi bwana nikae ndani uyo mrembo awe huruView attachment 961325
He hehehe role modooo wakeKumbe huyu jasusi Uchwara kashapata wajinga wachache mnaomsujudia kama Mungu,duh eti anzishe kozi ya ujasusi online,hivi wewe una akili timamu kweli?ujasusi upi unaoungelea wewe,labda kozi ya udaku na kutunga visa vya uongo.
Namaanisha mambo ya Amber rutty!!!!Huduma muhimu ni zipi? Selo ni selo tu
Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?
I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.
On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.
Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."
Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.
Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Nobody gives a *bleep bleep*Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?