Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
TWENDE NA MEMBE 2020
Ndio mkuu
Nampambania Mbowe.
But not to that extent!
Ndio mkuu
Nampambania Mbowe.
But not to that extent!
HahahahaNow Membe is trending;
Kwa kweli walahiAnza wewe tukuone!! Tutakunyoa bila maji k.e..nge wewe!!
wewe ni verified user?Mkuu kwanini unajadili MTU badala ya HOJA aliyoileta?
Chahali yupo sahihi,Mbowe ametelekezwa.
Hayo mengine uliyoandika hayana maana yoyote.
Ni sawa na wewe unavyojiita Salary Slip
Kwanini usitumie jina lako halisi?
Huyo Mange na yeye Kwanini asije kupambania hapa?
Bavicha Magoti kwishneyTWENDE NA MEMBE 2020
Tahadhari kwa wasomi, angalieni mifano kama hii. Kwa nini mnajianika mpaka mnaamua kujiadhiri bila sababu. Hawa Watanzania ni waelewa, endeleeni kujidanganya mkidhani ni wajinga...![]()
![]()
Tumika nawe uwe na bei.
Bavicha Magoti kwishney
Sindano si imewaingia?Makamanda huwa hawataki hata siku moja uwakosoe. Wao ni malaika, leo chahali ataoga matusi hadi akome
Mimi nina wasiwasi hii ID inakuwashared Lumumba. Msipoteze muda.Mkuu kumbe na wewe una lugha kali namna hii! Rudi kwenye lugha za kistaarabu hata kama umekasirika unaharibu haiba yako namna hiyo. Hujasoma Mithali 26:4?!
Mkuu Vipi tutaenda kumwangalia Kamanda wa Anga siku ya Uhuru?TWENDE NA MEMBE 2020View attachment 960722
Makamanda huwa hawataki hata siku moja uwakosoe. Wao ni malaika, leo chahali ataoga matusi hadi akome
Sindano si imewaingia?
Mkuu Vipi tutaenda kumwangalia Kamanda wa Anga siku ya Uhuru?
TWENDE NA MEMBE 2020View attachment 960722
Uko sahihi hata shetani ana wafuasi.Unajua wangapi wamejiunga na kozi zangu za Cybersecurity na Personal Development? 500+
Unajua watu wangapi wame-subscribe kijarida cha tweets zangu? 800+
Don't underestimate the power of intelligence.
No go figure! View attachment 960636View attachment 960637View attachment 960638
Sio #justice for Mbowe#?TWENDE NA MEMBE 2020
Rudi kasome post niliyoinukuu then uje tenawewe ni verified user?
Sio #justice for Mbowe#?