#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

bwana everist hiv kwa nini usianzishe course online ya ujasusi na uachane na hawa wanaharakati uchwara akina salary slip ambao hawatoi ushauri nini kifanyike kuyazuia haya maagizo kutoka juu kufanya kazi
Ana ujasusi gani acha kumpa kik
Ushawahi kuona wapi jasusi kigeugeu

Ova
 
Wewe Chahali, kama maisha ya ukimbizi yamekushinda rudi bongo tu siyo mpaka ujipendekezependekeze!, na ukirudi lazima wakunyooshe kwa sababu wewe ni coward!

Sasa kwako chenye maana ni kipi, kuanzisha mada ya lawama kwa wanachadema kwamba hawajaanzisha hashtag ya #FreeMbowe au Kuanzisha mada kuwataka waliomshikilia Mbowe wamuachie huru?.

Cowards kama nyinyi huwa mko mbio kulaumu Victims badala ya Kulaumu wenye kutenda dhuluma!

You are out of your mind, nadhani ndiyo maana hata Mange alikuona uko out of your mind
Moja ya mafanikio ya awamu hii ni kununua critics wake kwa 90%.
 
sidhani kama atapata wanafunzi...
Unajua wangapi wamejiunga na kozi zangu za Cybersecurity na Personal Development? 500+

Unajua watu wangapi wame-subscribe kijarida cha tweets zangu? 800+

Don't underestimate the power of intelligence.

No go figure!
Screenshot_20181208-163822_Nuzzel.jpeg
Screenshot_20181208-163856_Nuzzel.jpeg
Screenshot_20181208-164007_Yahoo%20Mail.jpeg
 
Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?

I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.

On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.

Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."

Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.

Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Kila mtu anabeba msalaba wake kama jinsi wewe ulivyozamia huko. Kama jasiri rudi uungane nasi kufanya hicho unacho shauri ni pomoja na kuwashawishi wapiga kura kuchagua Serikali ya viongozi wenye mapenzi na nchi yao siyo matumbo yao.
 
Siku hizi huyu Salary Slip amekuwa na hasira kweli kweli. Sio yule tena. Ukimgusa kidogo tu anakuangushia matusi mazito, ha ha ha.
Jamaa kweli jazba zimezidi, maisha. Kwenye siasa wamekuwa kama Kenge aliyekabwa na yai la kuchemsha. 2015 walitupiwa moja (Mamvi). Mida hii wajanja wa kijani wanawachemshia lingine ( linaitwa Mango). Full kuumizana na mwenyekiti wamemsahau.
 
Unajua wangapi wamejiunga na kozi zangu za Cybersecurity na Personal Development? 500+

Unajua watu wangapi wame-subscribe kijarida cha tweets zangu? 800+

Don't underestimate the power of intelligence.

No go figure! View attachment 960636View attachment 960637View attachment 960638

Lete mrejesho kwanza ile petition yako kule UN dhidi ya Jiwe iliishia wapi?, yale uliyoyaandikia petition kuyapinga yanaendelea kufanyika sasa badala ya kuwaconsole victims wewe unaanza kulaumu, au wewe unadhani Mbowe kuonewa kunawahusu Chadema tu?. Wewe kama Mtanzania na wewe una wajibu wa kusimamia na kutetea haki maana dhulma haiwaathiri Chadema peke yao bali taifa zima. Ina maana enzi hizo ulipokuwa usalama wa Taifa kabla hujatimuliwa hukufundishwa maslahi ya Taifa na maslahi binafsi ya kikundi ni nini?
 
Back
Top Bottom