ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Amesha laaniwa na Mwenye Enzi Mungu huyo walahiSiku hizi huyu Salary Slip amekuwa na hasira kweli kweli. Sio yule tena. Ukimgusa kidogo tu anakuangushia matusi mazito, ha ha ha.
Amesha laaniwa na Mwenye Enzi Mungu huyo walahiSiku hizi huyu Salary Slip amekuwa na hasira kweli kweli. Sio yule tena. Ukimgusa kidogo tu anakuangushia matusi mazito, ha ha ha.
Kwani mimi sio mtanzania, mbona sina hizo hasira unazozizungumzia? Sema hasira za makamanda uchwara hapo nitakuelewa.Hasira alizonazo Salary Slip ndizo walizo nazo Watanzania kwa sasa...
Mpaka lissumsaliti naye hoi!wanachadema wamashangazwa na kitendo cha mbowe kwenda kula bata na kukiuka kanuni sasa hawajui wamtetee vipi
Mkuu kwanini unajadili MTU badala ya HOJA aliyoileta?Wewe ni mnafiki mkubwa!
Umeanza kujipendejeza kwa Jiwe kwa muda sasa na ndio maana hata Mange alikupa kubwa Instagram.
Kama maisha huko yamekushinda,kuwa mdebedwo utapeta hela.
Upinzani kwa mazingira ya sasa utajengwa na kupiganiwa na wenye moyo na si watu cheap kama nyie msio na misimamo.
Kama wewe kidume njoo upambane ukiwa humu nchini kama hao kina Mbowe na sio ukiwa umejifungia kwenye kachumba huko katika nchi za watu.
HahahahaKwani mimi sio mtanzania, mbona sina hizo hasira unazozizungumzia? Sema hasira za makamanda uchwara hapo nitakuelewa.
Sura ile! Ipo siku utaujutia ushabiki huu wa kindezi na usisahau kuwa kila mchuma janga hula na wakwao! Jela ni ya wote mjinga wewe!
Umenifurahisha....umemjibu bila tusi kama yeye alivyofanya.Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.
Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.
Mnafiki mkubwa!!
Thubutu yake alete jina lake halisi!Mkuu kwanini unajadili MTU badala ya HOJA aliyoileta?
Chahali yupo sahihi,Mbowe ametelekezwa.
Hayo mengine uliyoandika hayana maana yoyote.
Ni sawa na wewe unavyojiita Salary Slip
Kwanini usitumie jina lako halisi?
Huyo Mange na yeye Kwanini asije kupambania hapa?
Anza wewe tukuone!! Tutakunyoa bila maji k.e..nge wewe!!Hasira alizonazo Salary Slip ndizo walizo nazo Watanzania kwa sasa. Zamani JK alisema ccm hawaaminiani hata mtu akienda chooni anabeba maji yake anaogopa sumu, sasa tuendako ccm mtawaogopa raia wa kawaida kiasi mkiondoka nyumbani kwenda kazini mnachukua familia nzima maana mnaweza kuta familia nzima imeshughulikiwa. Tunaelekea kwenye ukenge ukenge tuu!
Hivi mnajua huko kutegemea kwenu Polisi na ratio ya polisi na raia ikoje?
Shauri yenu, hamjifunzi Kwa Jirani?
Muda ukifika utakiri kwa kinywa chako mwenyewe....sio lazima maandishi yaonekaneOndoa uwongo wako hapa
Hueleweki, uko kama popoNafsi zinawasuta. Mmemtelekeza Mbowe kisa Membe. Yaleyale ya Dokta Slaa kwa Lowassa.
Halafu nyie matusi jadi yenu. Mlimtukana Dkt Slaa sembuse sie tunaowakumbusha tu kuhusu kadhia ya Mbowe na Matiko?
Mkuu kwanini unajadili MTU badala ya HOJA aliyoileta?
Chahali yupo sahihi,Mbowe ametelekezwa.
Hayo mengine uliyoandika hayana maana yoyote.
Ni sawa na wewe unavyojiita Salary Slip
Kwanini usitumie jina lako halisi?
Huyo Mange na yeye Kwanini asije kupambania hapa?
Thubutu yake alete jina lake halisi!
Vibogoyo tu hao walahi
TrueHamna mkuu ni nyumbu hizi, mda huu ziko bize na membe.
You know it better. Go and do as you have planned. Kupambana na utawala wa kimla ni jambo jingine na haki kutendeka ni jambo la subira. Mchezo wote unafahamika hakuna haja ya kuvaa kibwebwe kipya.Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?
I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.
On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.
Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."
Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.
Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)
Mnafiki mkubwa ni......
"nyie mbwa"
.......mliomtelekeza Mbowe.
Ndio mkuuKwa kumtaja Mbowe kwenye post yako tayari unampambania
Anza wewe tukuone!! Tutakunyoa bila maji k.e..nge wewe!!