#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

wanachadema wamashangazwa na kitendo cha mbowe kwenda kula bata na kukiuka kanuni sasa hawajui wamtetee vipi
Mpaka lissumsaliti naye hoi!
Mizee ya matukio ni shida
 
Mkuu kwanini unajadili MTU badala ya HOJA aliyoileta?

Chahali yupo sahihi,Mbowe ametelekezwa.

Hayo mengine uliyoandika hayana maana yoyote.

Ni sawa na wewe unavyojiita Salary Slip

Kwanini usitumie jina lako halisi?

Huyo Mange na yeye Kwanini asije kupambania hapa?
 
Aisee huyu jamaa sijui kama ni mtanzania au sijui pia ni jinsia gani maana ukipitia post zake zote ni tofauti na mtanzania
Sura ile! Ipo siku utaujutia ushabiki huu wa kindezi na usisahau kuwa kila mchuma janga hula na wakwao! Jela ni ya wote mjinga wewe!
 
Wewe kama unenunuliwa au una chuki zako binafsi,kaa kushoto.

Huwezi kuja na habarI za kukejeli hapa mara kwa mara alafu wakatI huo huo unajifanya unaguswa na manyanyaso wanayopewa wapinzani.

Mnafiki mkubwa!!
Umenifurahisha....umemjibu bila tusi kama yeye alivyofanya.
 
Thubutu yake alete jina lake halisi!
Vibogoyo tu hao walahi
 
Anza wewe tukuone!! Tutakunyoa bila maji k.e..nge wewe!!
 
Kwa kumtaja Mbowe kwenye post yako tayari unampambania
 
You know it better. Go and do as you have planned. Kupambana na utawala wa kimla ni jambo jingine na haki kutendeka ni jambo la subira. Mchezo wote unafahamika hakuna haja ya kuvaa kibwebwe kipya.

By the way mbona hakuna hashtag ya mafao ya wastahafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…