Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

oooh kumbe pale.....nilisikia hivyo nikauliza wenyeji....wakaniambia ni casino.....nikajiuliza casino gani lina madirisha kama jela.....kesho nitapita kupata details zaidi.....asante sana.....

usisahau kutupa feedback.............na kuvaa dera!
 
Exactly that is what he did, he is well in brain. Are you member of society or support it...........what is your perception on this

My perception: mason is an organization of men bound together with a philosophy of moral standards, mutual understanding and brotherhood in which all men are on a level and equal.
 
Watu wanakuja duniani na white pajamas? Na hizo rituals hajatolea mfano?
Hapo nahisi kaongea hivyo ili kukwepa maandamano ya watu fulani...........lakini anamaanisha unatakiwa uvae kanzu nyeupe kama wanavyovaa wale walalamishi. Walalamishi nao huwa wanaamini mtu anakuja duniani mtupu nje hadi tumboni na anatakiwa azikwe mtupu. Huu ni mtazamo wangu binafsi.
 
My perception: mason is an organization of men bound together with a philosophy of moral standards, mutual understanding and brotherhood in which all men are on a level and equal.

Where do you send your charity?
 
Amasema nini? Kila tukinywa maji ya kilimanjaro tunachangia charity? Teh teh teh! Unajua watu wa leo bwana...mchana anakuwa na dini hii halafu usiku anajiunga na nyingine. Kazi mbona ipo.

Sijui kasema nini lakini naelewa atasema nini, u mason siyo dini ni organization kama zingine, wapo wenye dini na wasio na dini.
 
Sijui kasema nini lakini naelewa atasema nini, u mason siyo dini ni organization kama zingine, wapo wenye dini na wasio na dini.

And you want me to believe that? What does believing in supreme being mean?
 
My perception: mason is an organization of men bound together with a philosophy of moral standards, mutual understanding and brotherhood in which all men are on a level and equal.

Duh! kwa hiyo nikiingia level yangu inakuwa moja na Mkapa..............And for "degrees of mason" you can say 1st degree is equal to 33th degree?
 
hii kitu nahisi joining rate ya bongo ni kubwa sana khaa...
 
And that is the only reason I believe it is also a religion. Nikipata password ntajaribu kwenda chungulia nini kinaendelea huko.

[h=3]Religious Aspects of Freemasonry[/h] Freemasonry as an organization does recognize the existence of Supreme Being, and new members are required to swear that they hold such a belief. Beyond that, however, Freemasonry has no religious requirements, nor does it teach specific religious beliefs. In fact, neither politics nor religion are to be discussed within a Masonic lodge, which makes defining Freemasonry as a religion to be rather absurd. Freemasonry is no more religious than the Boy Scouts, which requires members to believe in some sort of higher power.

Source: Is Freemasonry a Religion? - Occultism and the Free Masons – Masonic Conspiracy Theories
 
oooh kumbe pale.....nilisikia hivyo nikauliza wenyeji....wakaniambia ni casino.....nikajiuliza casino gani lina madirisha kama jela.....kesho nitapita kupata details zaidi.....asante sana.....

kuna siku lile jengo lilipata dhoruba ya kuungua moto,of course vitu vilivyoonekana ni pool table na machupa ya whisky thats why wenyeji wakahisi ni casino.
 
Ok,kumbe ni kanzu?nashukuru kwa clarification.
 
Kwa kweli Gerald ameni-disappoint sana katika interview hii. Yani kama vile Chande ndio alikuwa anaongoza...badala ya kuchimbua mambo anayoyasema Chande juu juu, unaona Chande akifika mahali Gerald anasema kwa kurudia alichomalizia kusema anakifanya kiwe kama swali "kwa hiyo umesema freemasonry hawatoi pesa eh!?"..aahhg!!Very poor interview!
Anyways, nisimlaumu sana. Amejitahidi kidogo!
My Opinion to Interviwers: Jitahidini jamani mfanye homework yenu kabla hamjaenda eneo la tukio. You need to learn and know most of the things already known or written, ili uweze kujua maeneo zaidi yanayotatiza ndio uyaulize. Waandishi tujitahidi kuwa interviewers not just reporters!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…