Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

believe in witchcraft, you will believe in any other rubbish thrown at you!

i personally dont believe in whichcraft. so you can make your conclusion for the rest.....
 
Muliletewa ukristu,mukaletewa uislaam, na sasa munaletewa ufreemanson....wajinga ndiyo waliwao. Kazi ni kwako
 
Kila mtu ana mtazamo wake kuhusu free masons na most of it is negative ila iv always been skeptical cz iyo sign ya kidole inaeza kweli ikawa ina maanisha tha texas bull horn as texas is famous for keeping cattle au pia inaeza maanisha rock on...i guess what im trying to say is theres always two sides to a story though in the free masons case,everone has their own version
 
famous negro freemasons:

  1. chaka fattah - u.s. Congressman, member of light of elmwood lodge #45
  2. robert abbott -founder of the chicago defender
  3. richard allen-founder/first bishop of the a.m.e. Church
  4. alexander t. Augusta-first african-american to head a hospital in the u.s.
  5. marion barry-mayor of washington, d.c..
  6. william "count" basie-orchestra leader/composer.
  7. james j.g. Bias-founder of the philadelphia vigilance committee.
  8. henry blair-first black to recieve a u.s. Patent.
  9. james herbert "eubie" blake-composer/pianist.
  10. edward bouchet-first black to be elected to the phi beta kappa society.
  11. william wells brown-first black to publish a novel.
  12. nathaniel "nat king" cole-singer.
  13. ossie davis-actor/director/playwrite.
  14. martin r. Delany-first black to matriculate from havard medical school/first black major in the u.s. Army.
  15. w.e.b. Dubois-educator/author/historian.
  16. alexander dumas-author.
  17. edward kennedy "duke" ellington-orchestra leader/composer.
  18. medgar wiley evers-civil rights leader.
  19. james forten-abolitionist/manufacturer.
  20. timothy thomas fortune-journalist.
  21. marcus garvey-founder of the united negro improvement association.
  22. alex haley-author.
  23. william c. Handy /composer.
  24. matthew henson-explorer.
  25. benjamin l. Hooks-former executive director of the n.a.a.c.p..
  26. jesse jackson-founder of the rainbow coaltion and operation push.
  27. maynard jackson-first black mayor of atlanta.
  28. john h. Johnson-publisher of ebony and jet magazines.
  29. jack johnson-first black heavyweight boxing champion in u.s..
  30. absalom jones-first black priest in the episcopal church in u.s..
  31. dr. Ernest everett just-a founder of omega psi phi and renowned zoologist.
  32. don king-boxing promotor.
  33. lewis howard latimer-inventor of the carbon filament for light.
  34. thurgood marshall-former associate justice, u.s. Supreme court.
  35. benjamin e. Mays-former president of morehouse college.
  36. eon m'ba- first president of the republic of gabon.
  37. kweisi mfume-executive director of the n.a.a.c.p..
  38. eliajah muhammed-founder of the nation of islam.
  39. richard pryor-comedian/actor.
  40. alexander pushkin-poet/novelist/playwrite.
  41. a. Philip randolph-founder and first president of the international brotherhood of sleeping car porters.
  42. charles rangel-u.s. Congressman.
  43. joseph jenkins roberts-first president of the republic of liberia.
  44. "sugar" ray robinson-former mid/light heavyweight boxing champion.
  45. arthur a. Schomburg-historian/author.
  46. rev. Al sharpton-civil rights advocate.
  47. carl b. Stokes-first black mayor of cleveland, oh..
  48. louis stokes-former u.s. Congressman.
  49. david walker-author of "david walker's appeal.
  50. booker t. Washington-educator and founder of the tuskegee institute.
  51. daniel hale williams-first surgeon to perform open heart surgery.
  52. bert williams-actor/comedian.
  53. granville t. Woods-inventor.
  54. andrew young-former mayor of atlanta and u.n. Ambassador.
  55. lawrence douglas s wilder - the first black elected governor in this country from virginia..

asante sana Maxence Melo kwa kutupa elimu nzuri kuhusu hawa mafreemasons.ingawa roho inaniuma kujua marcus alikuwa mmojawapo.
 
Last edited by a moderator:
believe in witchcraft, you will believe in any other rubbish thrown at you!

i personally dont believe in whichcraft. so you can make your conclusion for the rest.....

what do you mean that you dont believe in whichcraft?
 
Nabii umeingia Deep sana katika hii matter, nina hofu kuwa JF wengine umewaacha njia panda. However, inshort
unachosema Nabii ni kwamba. Nje ya Christ Jesus, mtu hana tofauti na Freemason. Therefore Mpagani asimsimange
Freemason, wala mtu yoyote aliye nje
 
Pale nyuma ya Kilimanjaro hotel wamehama, Si unajua tena nao wameongezeka sana idadi yao.
sasa hii Main HQ yao iko Msasani kupita kwa Warioba mbele ukiitafta njia-panda ya Coke. kisha unakunja kulia Baharini pana ukuta mchakavu sana na Geti wamepiga NO ENTRY.
Branchi yao nyingine mpya iko Kule Chanika!!!!!!!
 
=
574859_387235724663001_36568168_n.jpg
 
Mkuu nimekukubali, sina cha kuongeza. Endelea kuondoa utando huu machoni mwetu tupate kuona vyema.
 
unapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?

jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu

soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao

ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao
Mhhhhhhhhhhhhhh...................................
 
I always think that fremasonry does not exist, and even if it does, it is now too much exagerrated, it can be just a normal organisation which conducts its things clandestinely, but not the roumurs of people that they are connected to evil as you are even yourself tring to elaborate, Mexence, I appriciate your knowledge about fremasonry but iam still not conviced, lets continue to dig more may be i can believe it in the long run.

Mjuni even if we dig more,if your among them you won't tell us.Your providing too much protection to them.
 
Wadau wa JF! Hebu fuatilieni link hii halafu turudishe mawazo nyuma na kutafakari kwa kina halafu kama haujajikuta ni muda mwingi sana imeshapita tukiwa ktk utawala wa hawa Freemason.com!

Natumia simu ila kwa kuwa nawaamini members wa JF hebu fungua tuifuatilie kwa makini ilivyo jamani na kurudi na majibu kwa jinsi ulivyoielewa ikijifafanua link yenyewe:


www.andy chande.com

Jumba la freemasons~JIACHIE!

Ama kweli udumazi huu ulikaribishwa kitambo hapa Nchi!

Hebu twendeni tuifuatilie pamoja!

Asanteni!
 
Kweli unatumia simu mkuu! Hakuna kitu bhana! Anyways, kama ile ya Chande mbona ilikwishatua na kujadiliwa hapa kitambo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom