Kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguuMr, Melo
Why women are not members of Freemasonry ?
Why Freemasonry are hiding to be a Secret Society.
Juzi nilitumiwa sms nilichukia mno, wanatoa na no za sm zao, sijui walipata wapi no zangu? Sijawajibu ila nimeumia Shetani kunifuatiliaKwa yeyote anaefahamu utaratibu wa kujiunga na freemason, tafadhali tujuzane
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo Yesu mwenyewe wao ndo wamekuletea lasivyo ungekua unaabudu magome ya mitihawa jamaa ni hatari sana, lakini tunawashinda kwa Jina la na Damu ya Yesu. wameshindwa na hawatafanikiwa kwa lolote lile hasa kwa upande wangu. mimi na familia yangu, hata wakijaribu kuniangalia kwenye vioo vyao au namna zozote zile, hawatatuona, wala njama zao hazitatufikia. tumewashinda kwa Jina la Yesu.
naomba msome hii kitu. ni watu wabaya sana. kila kitu wanafanya, ni sawa tu na atakavyokuja kufanya mpinga kristo. yaani, ni vilevile tu, ila wao hawakamilishi yote, ni governmetn power ambayo iko kwenye process. but i warn you, kama hauna nguvu za Yesu, usijaribu kuwachokoza, watakumaliza kweli. jifunge mkanda kwa kumwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako kwanza, ndipo uingie kwenye mapambano nao. Yesu ana nguvu kuliko wao.
watanzania wengi hawajitambui....huyo Yesu mwenyewe wao ndo wamekuletea lasivyo ungekua unaabudu magome ya miti
watanzania bana.
Huyo Yesu ni yupihuyo Yesu mwenyewe wao ndo wamekuletea lasivyo ungekua unaabudu magome ya miti
watanzania bana.
Km wwwatanzania wengi hawajitambui....
Yesu aka Issa aka Esso aka Jesus,namuamini kama mtume wangu,nafuata baadhi ya vitendo na mafundisho yake ....Lakini dini yangu na biblia vile vile inasema mungu kamleta Yesu duniani kuja kuwaongoza wayahudi tu....sio watu wengine,kama mimi na weweKm ww
Hahahahahah sawa bana....Yesu aka Issa,Esso aka Jesus,namuamini kama mtume wangu,nafuata baadhi ya vitendo na mafundisho yake ....Lakini dini yangu na biblia vile vile inasema mungu kamleta Yesu duniani kuja kuwaongoza wayahudi tu....sio watu wengine,kama mimi na wewe
Swali zuri sana,ndio maana naamini tumekuwa programmed kwa miaka mingi sana.na ukweli umefichwa kwenye vitabu ambapo wengi wetu wavivu kusomaYesu aka Issa aka Esso aka Jesus,namuamini kama mtume wangu,nafuata baadhi ya vitendo na mafundisho yake ....Lakini dini yangu na biblia vile vile inasema mungu kamleta Yesu duniani kuja kuwaongoza wayahudi tu....sio watu wengine,kama mimi na wewe
Kweli kabisa wengi hatujui,ila naamini kabisa bila wao hata panadol zisingekuwepounapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?
jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu
soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao
ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao
Kweli Mkuu,nasoma Biblia kila siku,kuna mambo mengi ambayo yamefichwa...kama unasoma biblia na kuifahamu,ukasoma historia ya biblia utakuta kuwa huyu jamaa St. Paul aka "Saul wa Tarsus" kama wayahudi walivykuwa wakimwita alikuwa mrumi aliezaliwa Uturuki ndie alieanza kupotosha mafunzo ya Yesu aka Issa aka Jesus aka Esso aka Christ na kuweka UpaganiSwali zuri sana,ndio maana naamini tumekuwa programmed kwa miaka mingi sana.na ukweli umefichwa kwenye vitabu ambapo wengi wetu wavivu kusoma
Mkuu hayo unayoyasema sio kweli,wazungu wanaiga na kufatilia sana dawa za asili za Afrika na duniani kote,hata wao wanaziongezea makemikali kuzifanya unga,....Kweli kabisa wengi hatujui,ila naamini kabisa bila wao hata panadol zisingekuwepo