Freemason wanywa damu ya gadafi

Freemason wanywa damu ya gadafi

Mkuu una shida gani na Freemason??

waliomuua Gaddafi si watu wake mwenyewe na ilikua live pictures?? maana una kama threads zaidi ya tano unahangaika nao

wamekuchukulia mke?

Yuko idle na hajui a post nini. Mradi tu abandike.
 
Yuko idle na hajui a post nini. Mradi tu abandike.
Mwezi wa toba huu, ni bora angeangalia channels nzuri za mawaidha au kutembea-tembea jioni mitaa yake na manyunyu haya kuliko kujinajisi na habari za namna hii

Anajidhalilisha sana.... na kibaya zaidi anaequate Freemason na ukristu, hajui wapo hadi singasinga, mormons, wasio na dini walio freemason
 
haaaaa nachukia sana hilo neno linanikosesha amani namuomba munguu kila uchao nisiingie kwenye mkumbohuu
maisha ya duniani ni mad=fupi sana sasa huko mbele tuendapo ndo patakuwa taabu tupu
dame you masonic
 
mungu yupo na shetani yupo .shetani pamoja na matendo hana uwezo wa kumzidi mungu
 
Ukitaka kujua freemasons na habari zao jaribu kuwasoma kwanza na sio kuangalia habari za magazeti ya udaku, upumbafu mtupu. Gadaff kafia pale darajani hiyo damu saa ngapi wakaikinga? Au haikauki?

Freemason hao wa shigongo ni wakuuzia magazeti yake ya udaku, upuuzi kwelikweli kusikia mtu anaandaa hoja kwa udaku sijui wa blog au magazeti ya udaku ambayo hayataji hata source ya taarifa. Soma mwenyewe nini maana ya freemason na ujue malengo yao achana na udaku.
Eti diamond ni freemason??????????????????? Bhangi tupu
 
Kwa nini mtu asiendelee na imani aliyonayo rather than kutwa kuchwa kujichanganya na habari za freemasons? Mimi nafikiri kama umeshikilia imani yako haya ya freemason wala hayatakusumbua. Hapa sana sana mnayapa publicity bila wao kuwalipa chochote!
 
duuh MziziMkavu sikutegemea ungeweka post zaina hii!
 
Last edited by a moderator:
duuh MziziMkavu sikutegemea ungeweka post zaina hii!
Kwqani kuna ubaya wa aina gani kuweka hii post? Watu wa kuwalaumu ni waandishi wa habari mimi nime Copy na Ku Paste kuna ubaya gani? mimi sikuandika hii habriş mkuu tz1
 
Last edited by a moderator:
Kwqani kuna ubaya wa aina gani kuweka hii post? Watu wa kuwalaumu ni waandishi wa habari mimi nime Copy na Ku Paste kuna ubaya gani? mimi sikuandika hii habriş mkuu tz1

uko biased kinoma inapotokea suala la frimesoni hadi unakera
 
uko biased kinoma inapotokea suala la frimesoni hadi unakera
Kwani wewe ni mmoja wapo wa wanachama wanaokunywa Damu ya Mtu mkuu 'TF' Mna utetea Ushetani wa kunywa Damu wengi wenu imewagusa kwa sababu mume jiunga na kunywa Damu za Watu kwenye chama cha mashetani duniani.
 
Last edited by a moderator:
na zile ndege za nato ni watu wake pia???
Kwa Upeo wake mfupi mkuu.@Janjaweed anafikiri zile Ndege za Nato Walibya walizikodisha ili zimtowe kiongozi wao Amka Mkuu Janjaweed (John Garang)acha usingizi wewe Mzee. Mkuu.@Boflo
 
umenena sawa mkuu,watu wengi wanakuwa hawaelewi wanachokizungumzia kana kwamba mtu yeyote tu anaweza kuwa member wao
Guys freemasonly ni secret brotherhood, being secretly ndio essence ya existance yao.Kutokana na maendeleo ya teknolojia cku hiz hadi vitabu vyao vipo kwenye mitandao BUT agenda zao na mipango yao ni siri kubwa hata young masons wa degree tatu kama kina Jay Z hawazijui na information zozote zinazotoka nje mpaka mbongo kama wewe unazpata zina aim ya kumislead(conseal) na sio kureveal. You hv been fooled kama unaamin kwamba 12/12/2012 ndio wataestablish new world order. Wanachoplan mimi na wewe hatujui and probably we wont its only few "illuminated ones" wanaojua wat wil happen and when and believe it o not hakuna istitution which is safe from the illuminati including religion!
 













Muammar Gaddafi was fighting against the illuminati and the reason why he was killed is here!.@
Janjaweed
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom