FREEMASON :Vijana tuweni makini sana

shamylove

Member
Oct 4, 2016
35
44
Mamboz ! Natumani wote wazima ,kiukweli ajira sasa hivi zimekuwa ngumu kupatikana.
Kutokana na swala hilo matapeli ni wengi mno na wanatumia njia tofauti ili waweze kusurvive na msoto huu wa life.

Mimi binafsi ni msichana wa 24 na bado natafuta kazi ila nipo makini sana na kila step yangu na majaribu yanayonikuta.

Juzi kuna msg nilipokea kwa mtu anaedai kuwa yy ni masonic master ambaye yupo Tanzania na lengo lake ni kusaidia vijana na watu wasio na kazi ili wajipatie pesa bila kutoka jasho ili.mradi tu ukubali masharti. Kama ww ni mzembe na huna Imani na dini yako 100% utataka kujiunga ...(Ingawa hawa ni.matapeli).

Ila waliniacha hoi sana waliniambia jinsi ya kujiunga ni lazima uwe na laki 7 as an entry fee ya ufreeMason .

Hivi mimi mwenyewe hohe hahe natafuta kazi laki saba naitoa wap ya kujinga? na hata kama ningekuwa nayo si bora nianze biashara hata ya kioksi kuliko Ushetani huu .
Wakuu ni kweli kwamba kuna watu wanataka kujiunga Free mason kwa moyo wote lakini watu hawajui that is a Devil worshiping thing 100000%.

Nina sikitika sana kuina vijana tunakuwa na intrest na vitu vya kishetani ,tena afadhali huyo wa laki saba unaweza kukata tamaa kuna mpaka wa elfu 30 unambiwa utume then after 24 hrs utakuwa member tayari .

Hata ingekuwa bure ni bora usali kwa mungu wako akubariki na chochote kuliko tamaa za kupata utajiri wa haraka haraka .

Eeh Mungu baba tuepushe na mabalaa ya hiki kizazi na vizazi vyetu vijavyo .
 
TE="Mushi92, post: 19600280, member: 175749"]Alikuambia habari yapesa tu.? Mambo yetu hajakugusia?[/QUOTE
obviously angeonekana kweli nintapeli kama angenihusia b4 hajanitapeli ...
 
Kuna moja aliweka tangazo lake facebook nikamwambia acha utapeli akanifuata inbox akanitumia picha za maiti imefunikwa sanda iko kwenyw pango sijui imepakwa masizi akaniambia nakuonya dare me again uone kitakacho kupata.
Nikaitafta source ya hiyo picha kumbe ni watu wa maymar huko ndivyo wanahifadhi maiti zao nikaipata ile ile na picha za ziada nikamtumia nikamuuliza unadhani nitakuogopa kwa picha za google... hakuthubutu nijibu tena akapiga kimya
 
Mamboz ! Natumani wote wazima ,kiukweli ajira sasa hivi zimekuwa ngumu kupatikana.
Kutokana na swala hilo matapeli ni wengi mno na wanatumia njia tofauti ili waweze kusurvive na msoto huu wa life.

Mimi binafsi ni msichana wa 24 na bado natafuta kazi ila nipo makini sana na kila step yangu na majaribu yanayonikuta.

Juzi kuna msg nilipokea kwa mtu anaedai kuwa yy ni masonic master ambaye yupo Tanzania na lengo lake ni kusaidia vijana na watu wasio na kazi ili wajipatie pesa bila kutoka jasho ili.mradi tu ukubali masharti. Kama ww ni mzembe na huna Imani na dini yako 100% utataka kujiunga ...(Ingawa hawa ni.matapeli).

Ila waliniacha hoi sana waliniambia jinsi ya kujiunga ni lazima uwe na laki 7 as an entry fee ya ufreeMason .

Hivi mimi mwenyewe hohe hahe natafuta kazi laki saba naitoa wap ya kujinga? na hata kama ningekuwa nayo si bora nianze biashara hata ya kioksi kuliko Ushetani huu .
Wakuu ni kweli kwamba kuna watu wanataka kujiunga Free mason kwa moyo wote lakini watu hawajui that is a Devil worshiping thing 100000%.

Nina sikitika sana kuina vijana tunakuwa na intrest na vitu vya kishetani ,tena afadhali huyo wa laki saba unaweza kukata tamaa kuna mpaka wa elfu 30 unambiwa utume then after 24 hrs utakuwa member tayari .

Hata ingekuwa bure ni bora usali kwa mungu wako akubariki na chochote kuliko tamaa za kupata utajiri wa haraka haraka .

Eeh Mungu baba tuepushe na mabalaa ya hiki kizazi na vizazi vyetu vijavyo .
Mambo? Wee ndo upo apo kwa avanto?
 
Kuna moja aliweka tangazo lake facebook nikamwambia acha utapeli akanifuata inbox akanitumia picha za maiti imefunikwa sanda iko kwenyw pango sijui imepakwa masizi akaniambia nakuonya dare me again uone kitakacho kupata.
[HASHTAG]#TAPELI[/HASHTAG] TAPELI NA ANAETAPELIWA TAPELI hongera kwa kushtuka
Nikaitafta source ya hiyo picha kumbe ni watu wa maymar huko ndivyo wanahifadhi maiti zao nikaipata ile ile na picha za ziada nikamtumia nikamuuliza unadhani nitakuogopa kwa picha za google... hakuthubutu nijibu tena akapiga kimya
 
Alafu wewe ni jinsia ya kiume halisi. Wanawake wasio na kazi hiyo laki saba ni ndogo sana kwao.....wangetoa bila hata kuja kuleta thread humu.
 
Back
Top Bottom