FREEMASON :Vijana tuweni makini sana

Acha Kuamini Mambo Ya Kusadikika Wewe!!!! Katika Uhalisia Wa Maisha Hakuna Kitu Kinachoitwa Freemason....

Hawa Freemason ni Sawa na Stori Za ZIMWI ni INEXISTENCE.......

Kuna Watu Shughuli Za Ni Za UNGA na Wanajikusanyia Utajiri Mkubwa Sana Kwa Kusafirisha Huo Unga (Madawa ya Kulevya), Baadae Wanajitwngaza Kuwa Wao ni Freemason na Wametajirika Kwa Hela Za Uchawi Kupitia Freemason ili Kukwepa Mkono Wa Sheria Wasije Wakawa Suspected Katika Shuhuli Zao....

Kwahiyo Wengi Wanaojiita Freemason ni Mtandao Wa Wasafirishaji Madawa ya Kulevya na Ndiyo Wanayojipatia Utajiri... To be Honest Hakuna Mtu Anaetajirika Kwa Uchawi! Vinginevyo Sumbawanga Kusingelikuwa na Masikini...

Acheni Kuamnini Ushirikina Hakuna Freemason Katika real life! Huyo Anaetaka Laki Saba ni Tapeli tu.... Ingelikuwa Freemason Wanatajirisha Watu Kama Wanavyodai Basi Bongo kwa Matajiri ingelikuwa Zaidi Ya Marekani Kwani Vibaka na Wapiga Roba Wote Wasingekuwa Tayari Kuchomwa Tairi na Badala Yake Wangejiunga Freemason Kuwa Bilionea....
Hata Mimi Ningekuwa One Of the Most Richest man in Tanzania....
 
Back
Top Bottom