Freeman Mbowe, Zitto Kabwe ndani ya Tabora - Julai 27, 2013

Freeman Mbowe, Zitto Kabwe ndani ya Tabora - Julai 27, 2013

Nimeipenda hii mkuu....Magari ya polisi yachunguzwe kwa umakini muda wote.

ingekua vyema na polis wasachiwe pia kama hawana vitu vyenye mlipuko.!!!
Tena polisi wazuiwe kukaribia eneo la mkutano na mifuko myeusi ya rambo...
 
kutoka sikonge tuko wajumbe wa kutosha tuko njiani muda wowote tutaungana hapo makamanda ..peooooples!!!
 
Muwe makini makamanda na vitu vizito vya mlipuko. RB bila shaka wapo sawa. Tunafuatilia
 
hawana majimbo hao wau kila uchao kiguu na njia kwenye majimbo ya watu.kazi kuchangisha pesa za msikini huku wao wakineemeka

majimbo yao ni Tanzania in general..nyie kama mnalala maofisi laleni tu.
 
Wana jf hasa wapenda mabadiliko kuna masahihisho kuhusu eneo la mkutano wa hadhara ulioandaliwa na viongozi wa jimbo la Ukonga,nilisema mkutano utakuwa Pugu,kumradhi,taarifa sahihi mkutano utakuwa Chanika stendi,na wazungumzaji ni pamoja na Mnyika,Marando,Mwita na kamanda Bananga atakuwepo sambamba na viongozi wa jimbo mwenyeji na kutoka sehemu mbalimbali.mnaalikwa kushiriki katika mkutano ambao ni njia mojawapo ya kuhakikisha tuna mng'oa mkoloni mweusi chini ya maccm.
 
Red brigade waimarishe ulinzi...mrekodi mkutano maana policcm hawakawii kurusha mabomu...muwe makini na vitu vizito vyenye ncha kali. Asanteni
 
kutoka sikonge tuko wajumbe wa kutosha tuko njiani muda wowote tutaungana hapo makamanda ..peooooples!!!
Dah mpaka raha 🙂 makamanda tuko vizuri kila kamanda anajitolea..hakuna cha biku 7 wala nini raha 😛eace:
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Tukiwaambia magamba CDM ni hakuna kulala wao hawaelewi,wamejaribu kuiga lakini kasi hii ya ujenzi wa chama maeneo mbali mbali ndani ya mipaka ya Tanzania hawaiwezi,wao maccm hatuwawezi kwa ufisadi tena hata juzi ujio wa maraisi kwenye smat partnership dialogue wamedhihirisha wao kazi yao kubwa ni ufisadi,mablioni ya fedha yameliwa kupitia makampuni ambayo hata hayajasajiiwa na Brela.wameshindwa kuimarisha chama chao cha zamani kwa kasi inayofanywa na CDM ktk kujenga chama.na kwa taarifa tu huku Dar tutawatwanga kwenye ,mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na jembe kamanda Mnyika J J akisaidiwa na makamanda wengine wakiwamo viongozi wa jimbo la Ukonga ambao ndio wenyeji wa mkutano huo utakaofanyika Pugu.

Ndo maana kazi wanayofanya kwasasa nikufungulia watu kesi, wameshindwa kwenda na kasi ya mageuzi wanashindwa kuelewa kwamba hiyo haitawasaidia sana sana nikama wanamwagia moto petrol
 
katika viwanja vya mpira hapa karatu mjini mh Natse akiambatana na mh Paresso viti maalum watawasha moto mkubwa nitawapa updates wakuu
 
Back
Top Bottom