All the best with tight security by the redbrigade.
Ulinzi uwepo wa kutosha... Doria za red brigade zifanye coverage ya at least 1km radius kutoka uwanjani... Magari ya polisi yachunguzwe kwa makini na yawe kwenye rada muda wote wa mkutano... All the best kamandas...
hawana majimbo hao wau kila uchao kiguu na njia kwenye majimbo ya watu.kazi kuchangisha pesa za msikini huku wao wakineemeka
Ulinzi mkali mithili ya ulinzi katika mechi za premier league uingereza; RED BRIGADES macho kwa wasikilizaji sio Jukwaa kuu!!
3 rings of security if not more! 1st ring around jukwaa kuu; Macho kuelekea nyomi ya makamanda; 2nd ring ndani ya open space mbele ya jukwaa kuu Macho yote kuelekea Nyomi ya mkutano na 3rd ring nje kwa kuuzunguka umati wa wakutanaji; Reds wawili kila baada ya mita 5. Najua tuna nguvu kazi ya kutosha
Kamera na vinasa sauti stand by wakati wote; juu juu tu. Ndiyoo..; kwani ukishaumwa na nyoka unafanyaje .........!?
Kikosi maalumu kufuatilia nyendo za magari ya polisi, askari wenye sare na makachero kwani utawajua tu ukiangalia umakini wao wa kufuatilia mikutano; slightly absent minded; ili wasikosee kwa sababu wana "hadidu za rejea" za kutekeleza!!!!!!!!!!!!
CDM mbele daima.

Ntawaletea update lakini msiniulize kuhusu picha.
hawana majimbo hao wau kila uchao kiguu na njia kwenye majimbo ya watu.kazi kuchangisha pesa za msikini huku wao wakineemeka
Sasa ule Unga unga Ungempata Zitto leo mngehutubia na nani?
Ulinzi uwepo wa kutosha... Doria za red brigade zifanye coverage ya at least 1km radius kutoka uwanjani... Magari ya polisi yachunguzwe kwa makini na yawe kwenye rada muda wote wa mkutano... All the best kamandas...
Tunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Kumbe hata wewe unawaaminia makamanda? Big up! Vipi yule mwalimu wako wa kule Arusha? Anasemaje baada ya makamanda kumkung'uta 4-0? Mpe salamu zangu. Mwambie ajipe moyo. Asiyekubali kushindwa ...
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
mungu awe nanyi