Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Hakuishinda kesi ya ugaidi alitolewa kwa mbeleko ya Samia, siku akiingia rais mwingine atakamatwa.

Kwa hiyo ni bora alipokutwa na kesi ya kujibu angekomaa hadi ashinde kesi badala ya kukubali mashitaka kusogezwa mbele.

DPP akiamua hata leo anarudisha kesi mahakamani.
 
😆😆
Screenshot_20230309-225143_Instagram~2.jpg
 
We mwehu kumbuka kuwa hii kesi ilifutwa kwa sababu zifuiatazo;
1. Hii kesi ilikuwa ya kutunga na ilifanywa na yule mhuni kama alivyofanya kwa wapinzani wengine tishio!
2. Mahakimu na Majaji waliokuwa wakisikiliza kesi hii walikuwa wakipangwa ili kutoa upendeleo!
3. Kwenye hatua ya kwenda kujibu tuhumu Serikali ilijua wazi kuwa inakwenda kuaibika mchana kweupe!
Ukiwaza kwa akili ndogo kabisa unagundua kabisa pasi na shaka kuwa kesi ile ilikuwa ya magumashia.k.a. mchongo!
 
Back
Top Bottom