Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Hakuishinda kesi ya ugaidi alitolewa kwa mbeleko ya Samia, siku akiingia rais mwingine atakamatwa.

Kwa hiyo ni bora alipokutwa na kesi ya kujibu angekomaa hadi ashinde kesi badala ya kukubali mashitaka kusogezwa mbele.

DPP akiamua hata leo anarudisha kesi mahakamani.
Ndiyo kusema alipotoka gerezani na kunyooka Ikulu kw mwaliko alikwenda kushukuru kuhurumiwa? Wengine tuliamini alikwenda kuombwa radhi kwa kesi ya mchongo na kisha kualikwa kwenye mchakato wa kuanza ukurasa mpya. Pamoja na hayo mashetani ya zama za giza ruksa kujifariji. Ingawa ile kesi ilikutungwa zama za giza utawala wa sasa umekuja kuangushiwa jumba bovu na ulikuja kung'amua wakiwa wamechelewa. Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.
 
Ndiyo ukweli huu
 
Back
Top Bottom