Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Atashitakiwa tu maana hana kinga. Kengeza wenu anasubiriwa akishamaliza kutumika kama toilet paper lazima aminywe gololi zake mpaka kengeza zichomoke
Umejiunga na jf 16.1.2023 mara baada ya kupewa mkopo wa halmashauri na kwenda kununua kiswaswadu ili umtukane mh Mbowe?

Kwani binadamu mwenye makengeza hastahili kuishi hapa Tanzania?

Ebu kuwa na adabu wewe kizazi cha nyoka.
 
Kengeza hana adabu, alipaswa kuelewa watanzania tumefiwa siyo dhihaka dhidi ya rais wetu Dkt Samia. Mpaka siku akikiri alikosea kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli, he will never settle huyu kengeza wenu. N gloli zake zinasubiri a central waziminyeee mpaka kengeza ziongezeke. Anajifanya kumdhihaki Dkt Magufuli huku anamuwinda rais Dkt Samia.
 
Ni kweli usemayo hata kiongozi serekalini anaweza kupata kesi ya jonai iwapo ataingia rais mungine
 
Huu ni mshauri mzuri kabisa, ni bora hata kwenye maridhiano ungeacha tu sheria ichukue mkondo wake, uliachiwa umeachiwa ukihukumiwa basi Rais atoe Presidential Pardon (Msahama wa Rais), madaraka hayo anayo.

Akija Rais yeyote yule - kwa mfano Rais Zitto au Rais Silinde au Rais ole Sabaya - ataona wazi kuwa you are guilty as charged, yaani wewe ni gaidi. Hii ni kwa sababu tigopesa walithibitisha muamala wako wa kuwalipa wale makomandoo wakamuue ole Sabaya.

Ni bahati yake nzuri (ole Sabaya) kwa kuwa hawo makomandoo walikamatwa na Afande Jumanne na Kamanda Kingai wakinywa mbege na wahudumu wa kwa Mamantilie pale Rau Madukani. La kama wasingekamatwa ole Sabaya angeliuliwa na makomandoo wangenyongwa.

Kwa amri ya Mahakama Nuremberg ya 1949, makomandoo wako hawawezi kujitetea kwa kudai kuwa walitii amri ya Hitler au wewe kamanda wao, kwa vile amri ya kuua si halali. Na wewe ungeuawa tena wa kwanza. Ni bora kabisa ema ukiri kosa Rais akasaheme (hii ndiyo plea-bargaining ya Jaji Biswalo, itarahisha maridhiano).
Ndoto za mchana baada ya kuvimbiwa Dona la Mama Lishe! Subirini muda wenu ufike mbwa nyie. Tutawakusanya na kuwawajibisha bila kupepesa macho. Mmehangaika na Mbowe mwaka mzima mmeshindwa. Hamna ushahidi hata wa kuokoteza mmeshindwa.
 
Tigopesa je? Na Afande Urio "homeboy"? Kuna Kamanda Kingai jinsi alivyowakurupusha kwenye mbege na madadapoa, mmoja akakimbia hatujui yuko wapi? Ilikuwa sheli zote zilipuliwe Njii iingie taharuki ositawalike peoplezzzzzz. Baadaye Rais akamsaheme wala hana shookran angenyongwa. Majuzi akiwa Rorya nji ya Washashi alisema kunde alikimbia hadi Mombasa kwa njia za panya, then Nyeri then Dubai kumbe ni fugitive.
 
Bora mwenzake Sabaya ameachiwa baada ya kushinda kesi na siyo kwa mbeleko ya Dpp
 
Hakuishinda kesi ya ugaidi alitolewa kwa mbeleko ya Samia, siku akiingia rais mwingine atakamatwa.

Kwa hiyo ni bora alipokutwa na kesi ya kujibu angekomaa hadi ashinde kesi badala ya kukubali mashitaka kusogezwa mbele.

DPP akiamua hata leo anarudisha kesi mahakamani.
Hujui....usianzishe jambo huna ujuzi nalo..
 
Wewe hoja yako ni ipi?
Punguza kubweka kumfurahisha bwana wako, tafuta hoja mujarab itakayokutofautisha uonekane una akili hata kidogo.

Hoja kwa wapumbavu wa CCM ni Mbowe Mbowe na mbowe, lakini viongozi wa CCM wafuga mbwa wanamuita Mbowe watafute muafaka kwa faida ya nchi hence maridhiano
 
Nimeona umetukana tu hujajibu hoja
 
Back
Top Bottom