Lakini wanajituma sana kuliko hao wenye CV iliyojaa kibiriti. Tatizo ni katiba, ati inatosha alimradi anajua kusoma na kuandika!
Ujinga wa huyu mtu umepitiliza. Yaani kwake kusoma shule za msingi tatu tofauti ni tatizo ilhali jumla ya miaka ni ileile ambayo angesoma shule moja.Umejitahidi sana kujionesha ulivyo mjinga na drs lako la saba, yaani unadhani uongozi ni vyeti na cv za ubabaishaji je Mandela ndiye msomi kuliko wote Africa? Je mikataba feki imetiwa saini na watu ambao hawakwenda shule, ni kilaza hadi unatia aibu
Hebu niambie ukubwa wa CV (Kwenye elimu)kama unavyo maanisha unasaidiaje kuondoa matatizo ya watanzania? Hebu niambie hawa wameondoaje umaskini wa watanzania pamoja na udaktari wao:
- Dr. Jakaya Kikwete
- Dr. Emmanuel Nchimbi
Orodha ni ndefu endeleza na wewe.....
Njoo na hoja sio vitu vya kucopy na kupaste! sasa unataka tujadili pumba? wahi lumumba ukachukue chako
Ujinga wa huyu mtu umepitiliza. Yaani kwake kusoma shule za msingi tatu tofauti ni tatizo ilhali jumla ya miaka ni ileile ambayo angesoma shule moja.
anzisha mkuu tutachangia. Ww ndio una nafuu kdg ktk wenzako wa ufipa fc
kumbe ndiyo maana chadema kinakosa mwelekeo kumbe kundi kubwa la watu mule hawana shule.
Ujinga wa huyu mtu umepitiliza. Yaani kwake kusoma shule za msingi tatu tofauti ni tatizo ilhali jumla ya miaka ni ileile ambayo angesoma shule moja.
Napendekeza kitila mkumbo ambaye ni mwalimu wa chuo kikuu aanzidhe program ya tuisheni akisaidiana na baregu sema baregu saivi yuko busy mno na issue za katiba na amesema hataki poyoyo huko