Freeman Mbowe na kupanda na kushuka kwa CHADEMA!

Braza Willy hali ilivyo ngumu huku kitaa unafikiri tuna time na andiko lako kuhusu Mbowe,,, milioni 50 kila kijiji hatuzioni, hatuoni za mfuko wa jimbo, biashara zinafungwa wafanyakazi wanapunguzwa yaani vululu vululu.

Kama unasoma alama za nyakati licha ya elimu yako ya kuunga unga, saizi hoja ya msingi ni uchumi tu hizo za Mbowe ni wastage of time braza
 
Asante Wille kwa uchambuzi makini..

Wachangiaje wengi wa bavicha kama kawaida yao watakuja na matusi au hoja za kitoto kisa hawataki kuambiwa ukweli!
Hoja ya msingi ni mbowe kuachia ngazi maana chadema kwa sasa hakina mashiko kwa wananchi na upinzania hauna nguvu kama miaka kadhaa iliyopita..

Utawala mpya na aina za siasa kwa sasa inawataka wabadilike..Upinzania una nafasi kubwa sana kwa maendeleo ya nchi lakini unapokosa nguvu ni wazi ccm inaweza pia kukosea kwenye baadhi ya maeneo na tusipate mawazo mbadala wa kuwaweka sawa!

Zama za Mbowe zimefika tamati na kamali zake ni wazi ameliwa kekundu na akina lowasa..Kukosea sio kosa ila kosa ni kurudia kosa!Kuendelea kuwakumbatia akina lowasa, Sumaye et al ni kosa zaidi wanaloendelea kulifanya..

1.Kwanza wawaondoe akina Lowasa na genge lake na wakiri kuwa walikosea bila kumung'unya maneno ikiwezekana a list of shame irudi hewani kwenye media!
2. Pili Mbowe ajiuzuru na kusuka chama upya hasa safu ya uongozi..Mpaka kufikia 2020 (Miaka 4 iliyobaki) naamini muda unawatosha kukijenga chama kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa..
3. Wajikite kwenye masuala ya msingi hasa kiuchumi kuikosoa serikali ya sasa hasa kwa kufanya siasa kwenye majimbo yao kwa kutumia madiwani, mameya na wabunge na kuleta mapinduzi ya kimaendeleo hasa kiuchumi..Waachane na siasa za mihemko au maandamano na kauli za viongozi kama ajenda zao kuu!
4. Warudi kwa Dr. Slaa na kumuomba radhi ili arudi kukinusuru na kukijenga chama upya..Bado naamini Slaa ni mpinzani bora, genuine kuwahi kutokea na mwenye mikakati mizito kwa upinzani..
 
Serikali ya CCM itoe uwanja sawa wa Demokrasia kwa vyama vyote ndio tunaweza kupima fairly performance ya CHADEMA kwa hivi sasa ikoje.

Lakini Ngosha anazuia bunge, Ngosha hataki mikutano ya vyama vya Siasa, Ngosha hataki aina yoyote ya demokrasia ya vyama vingi and then u are coming here kutuambia CHADEMA inakufa.??.. Nonsense..!!

Mbowe yupo bado very ok kwenye kukiongoza CHADEMA. Hata alivyo gamble kuwakaribisha former PMs ime work out..Angalia idadi ya wabunge na madiwani walioshinda kupitia UKAWA ni wengi.

Na ukumbuke Uchaguzi ulifanyika tukiwa na hii tume ya Lubuva isiyo huru na haki. So with other electoral commission ambayo ipo huru na haki wabunge na madiwani wangepatikana wengi zaidi. Hata kwenye nafasi ya Urais Lowassa alishinda ila tume hii dhalimu ndio iliyobatilisha ushindi wake.
 
Mm namuhamini sana mbowe sana turimujuwa chacha bobu wangwe kupitia mbowe turimujuwa zito kabwe kupitia mbowe turimujuwa john munyika kupitia mbowe arima mdee kupitia mbowe turimujuwa tundu risu kupitia mbowe nashanga unatoa oja kwa kumpinga mbowe unatoka wapi
We Jamaa bhana...
 
Mbowe kwa s
- Freeman Haikaeli Mbowe au kama tunavyomuita mtaani "MCHAGGA" ni rafiki yangu wa karibu sana sana nimemfahamu toka utotoni na ndio maana mpaka leo ninamuheshimu sana kwani ni mmmoja wa Binadam wachache sana ninaowafahamu Duniani wenye msiamo na walio radhi kupoteza anything kwa ajili ya msimamo. Toka utotoni Freeman hakuwahi kuwa mpenzi au shabiki wa TANU au CCM, na sitashangaa kwamba hakuwahi kuwa hata Mwanachama ni msimamo mzito aliokuwa nao kwamba TANU/CCM zilikuwa zinakosea na zinahitaji kurekebishwa. Na ndio maana wakati ulipofika hakuwa na tatizo kujiunga na Upinzani, yaani Chadema chama ambacho kilianza kwa kasi sana chini ya Mzee Mtei, lakini kikashuka sana chini ya Marehemu Mzee Makani na kikaja kuamka tena chini ya Freeman Mbowe Mwenyekiti wa sasa. Amekichukua chama hicho kikiwa mahututi sana akapigana mpaka kukipa meno na kuitingisha sana CCM, na cha msingi sana akafanikiwa kuwaingiza Chadema Vijana wengi wenye misimamo kama yake ya Kipinzani na kukifanya kuwa Chama kweli cha Upinzani na pia ni yeye ambaye amekifikisha chama hicho kilipo sasa hoi bin taabani.

- Freeman alikipatia uhai chama hicho kwa kujikita kwenye mbinu mbali mbali za michezo ya kisiasa ambayo inakubalika kwenye lengo la kuhakikisha ushindi na the end justifying the means, kwa mfano alikikuta Chadema kikiwa na Wabunge wachache sana kulinganisha na sasa na the number one mark ya Uongozi wa Freeman ambayo kama historia ya siasa na Taifa hili itamkumbuka kwenye uongozi ni the FACT ya uongozi wake wa Chadema kuweza kuwa attract Mawaziri Wakuu wawili wa zamani wa CCM, kuwaunganisha Wapinzani karibu wote nchini under UKAWA katika kuikosesha usingizi Serikali ya CCM..... lakini kwenye maisha kila chenye mwanzo ni lazima kiwe na mwisho na hatimaye mwisho wa uwezo na akili nyingi za Freeman kuongoza Upinzani wa kweli sasa zimeaanza kufika mwisho, Chadema inahitaji Kiongozi mpya mwenye mbinu mpya kuweza kupambana na CCM.

- Pamoja na makubwa yote aliyokifanyia Chadema kuna maamuzi mengi Freeman aliyafanya kwa kucheza bahati nasibu ya Siasa ambayo matokeo hayakuwa kama alivyotegemea lakini kuna faida kiasi fulani Chadema waliipata kutokana na his gambling na hasa kwenye kuwapokea Mawaziri Wakuu 2 wa zamani wa CCM, kwa upande mmoja alikiongezea Chama chake nguvu ya Muda na pia kwa upande mwingine alikipunguzia chama chake nguvu ya muda mrefu, isipokuwa cha msingi sana ni kwamba akiwa kwenye kilele cha Utawala wake Freeman aliwekeza sana kwenye Media na Social Media ndio the best political investment inayokibeba chama hicho sasa hivi wakati kikiwa almost mwisho wa uhai wake. Kuwekeza kwake kwa Vijana wenye msimamo na Media ndio kunakisaidia sana chama hicho kuendelea kupumua mpaka leo huku the Natural Fate ikiwa inakipa nafasi chama hicho nafasi ya kujikarabati ingawa Viongozi na Wanachama wengine wa Chama hicho wanashindwa kuielewa hiyo concept.

- Huu ni wakati muafaka wa Freeman kujiuliza kama je kuna nini ambacho bado hajakifanya katika uwezo wake wa kufikiri na kuongoza Upinzani, kwa sasa Chama hicho sio siri kimejipiga dhoruba kwa kamali ya kisiasa aliyoamua kuicheza yeye mwenyewe Freeman kwa niaba ya Chama chake na ndio maana ya Uongozi wa Taifa ni kwa Kiongozi kuwa na uwezo wa kuona mbali kwa niaba anaowaongoza. Chadema imefika mahali inahitaji ukarabati mkubwa sana na wa hali ya juu sana kuweza kurudi tena au kufikia zaidi ya kilipokuwa huko nyuma. Chadema haina agenda yoyote tena zaidi ya kusubiri Viongozi wa CCM wakosee herufi na maneno na kuanza kuyarudia rudia kama utani badala ya hoja nzito kwa Umma ambao ulifikia hatua ya kuwaamini sana nyakati fulani zilizopita. toka Utawala mpya wa Awamu ya Tano ya CCM ushike madaraka Chadema imepwaya mno ni kawaida kwenye siasa za Kitaifa ni kama chama cha Democrats huko USA na wao sasa hivi wanakabiliwa na wakati kama huu wa Chadema ni wakati unaohitaji Viongozi wake wa juu kujitafakari upya kama kweli wapo sawa na wanachohitajika kukifanya yaani Upinzani.

- Kutumia muda mwingi kuwashambulia kwa maneno ya mafumbo mafumbo na lugha zisizokuwa za kistaarabu siamini kama inaweza kuisaidia Chadema kurudi kwenye mstari wake wa kuaminiwa na Wananchi kama ilivyokuwa huko siku za nyuma. Binafsi ninakubaliana sana na maneno ya Mwenyekiti Mao Tse tung kuwa...... "Ukiona binadam wawili wanakubaliana kwa kila kitu na kwa wakati wote ujue kwamba aidha Mmojawapo ni Mgonjwa au wote wawili sio wazima".....Historia ya Dunia inaonyesha Chama kimoja kikikaa madarakani kwa zaidi ya Miaka 50 huwa kunakuwa na tabia za kujisahau kwa chama hicho so kinahitaji kukumbushwa kumbushwa kurudi kwenye mstari so ni muhimu sana kuwepo kwa Upinzani nchini, lakini sio kwa huu upinzani uliopo sasa. Freeman amekisaidia sana Chadema sana, lakini Chadema ilipofikia sasa hivi nina wasi wasi ndio mwisho wa uwezo wake kufikiri kisiasa ni wakati muafaka akatafakari kama ni wakati wa kufanya maamuzi magumu sasa au kuja kujutia baadaye.

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Le Mutuz Nation
Mimi naamini kabisa, kwa sasa huwezi kusema upinzani umeshuka kwa sababu kubwa moja. Anayefanya siasa za moja kwa moja na zenye Uhuru ni mmoja tu wengine wamepigwa stop kwa ajili ya neno tunafanya maendeleo. Ukiruhusu vyama vya siasa vifanye siasa kwa Uhuru ndo utajua wazi kama kimepotea au la!!!!
 
Asante Wille kwa uchambuzi makini..

Wachangiaje wengi wa bavicha kama kawaida yao watakuja na matusi au hoja za kitoto kisa hawataki kuambiwa ukweli!
Hoja ya msingi ni mbowe kuachia ngazi maana chadema kwa sasa hakina mashiko kwa wananchi na upinzania hauna nguvu kama miaka kadhaa iliyopita..

Utawala mpya na aina za siasa kwa sasa inawataka wabadilike..Upinzania una nafasi kubwa sana kwa maendeleo ya nchi lakini unapokosa nguvu ni wazi ccm inaweza pia kukosea kwenye baadhi ya maeneo na tusipate mawazo mbadala wa kuwaweka sawa!

Zama za Mbowe zimefika tamati na kamali zake ni wazi ameliwa kekundu na akina lowasa..Kukosea sio kosa ila kosa ni kurudia kosa!Kuendelea kuwakumbatia akina lowasa, Sumaye et al ni kosa zaidi wanaloendelea kulifanya..

1.Kwanza wawaondoe akina Lowasa na genge lake na wakiri kuwa walikosea bila kumung'unya maneno ikiwezekana a list of shame irudi hewani kwenye media!
2. Pili Mbowe ajiuzuru na kusuka chama upya hasa safu ya uongozi..Mpaka kufikia 2020 (Miaka 4 iliyobaki) naamini muda unawatosha kukijenga chama kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa..
3. Wajikite kwenye masuala ya msingi hasa kiuchumi kuikosoa serikali ya sasa hasa kwa kufanya siasa kwenye majimbo yao kwa kutumia madiwani, mameya na wabunge na kuleta mapinduzi ya kimaendeleo hasa kiuchumi..Waachane na siasa za mihemko au maandamano na kauli za viongozi kama ajenda zao kuu!
4. Warudi kwa Dr. Slaa na kumuomba radhi ili arudi kukinusuru na kukijenga chama upya..Bado naamini Slaa ni mpinzani bora, genuine kuwahi kutokea na mwenye mikakati mizito kwa upinzani..
Hata Mbowe akiondoka akaja Kiongozi mpya unafanya vipi Siasa kwenye nchi hii kwa sasa??
Rais hataki mikutano ya Siasa, Rais hataki bunge lisikike, Rais hataki fair competition kwenye Siasa.
 
- Freeman Haikaeli Mbowe au kama tunavyomuita mtaani "MCHAGGA" ni rafiki yangu wa karibu sana sana nimemfahamu toka utotoni na ndio maana mpaka leo ninamuheshimu sana kwani ni mmmoja wa Binadam wachache sana ninaowafahamu Duniani wenye msiamo na walio radhi kupoteza anything kwa ajili ya msimamo. Toka utotoni Freeman hakuwahi kuwa mpenzi au shabiki wa TANU au CCM, na sitashangaa kwamba hakuwahi kuwa hata Mwanachama ni msimamo mzito aliokuwa nao kwamba TANU/CCM zilikuwa zinakosea na zinahitaji kurekebishwa. Na ndio maana wakati ulipofika hakuwa na tatizo kujiunga na Upinzani, yaani Chadema chama ambacho kilianza kwa kasi sana chini ya Mzee Mtei, lakini kikashuka sana chini ya Marehemu Mzee Makani na kikaja kuamka tena chini ya Freeman Mbowe Mwenyekiti wa sasa. Amekichukua chama hicho kikiwa mahututi sana akapigana mpaka kukipa meno na kuitingisha sana CCM, na cha msingi sana akafanikiwa kuwaingiza Chadema Vijana wengi wenye misimamo kama yake ya Kipinzani na kukifanya kuwa Chama kweli cha Upinzani na pia ni yeye ambaye amekifikisha chama hicho kilipo sasa hoi bin taabani.

- Freeman alikipatia uhai chama hicho kwa kujikita kwenye mbinu mbali mbali za michezo ya kisiasa ambayo inakubalika kwenye lengo la kuhakikisha ushindi na the end justifying the means, kwa mfano alikikuta Chadema kikiwa na Wabunge wachache sana kulinganisha na sasa na the number one mark ya Uongozi wa Freeman ambayo kama historia ya siasa na Taifa hili itamkumbuka kwenye uongozi ni the FACT ya uongozi wake wa Chadema kuweza kuwa attract Mawaziri Wakuu wawili wa zamani wa CCM, kuwaunganisha Wapinzani karibu wote nchini under UKAWA katika kuikosesha usingizi Serikali ya CCM..... lakini kwenye maisha kila chenye mwanzo ni lazima kiwe na mwisho na hatimaye mwisho wa uwezo na akili nyingi za Freeman kuongoza Upinzani wa kweli sasa zimeaanza kufika mwisho, Chadema inahitaji Kiongozi mpya mwenye mbinu mpya kuweza kupambana na CCM.

- Pamoja na makubwa yote aliyokifanyia Chadema kuna maamuzi mengi Freeman aliyafanya kwa kucheza bahati nasibu ya Siasa ambayo matokeo hayakuwa kama alivyotegemea lakini kuna faida kiasi fulani Chadema waliipata kutokana na his gambling na hasa kwenye kuwapokea Mawaziri Wakuu 2 wa zamani wa CCM, kwa upande mmoja alikiongezea Chama chake nguvu ya Muda na pia kwa upande mwingine alikipunguzia chama chake nguvu ya muda mrefu, isipokuwa cha msingi sana ni kwamba akiwa kwenye kilele cha Utawala wake Freeman aliwekeza sana kwenye Media na Social Media ndio the best political investment inayokibeba chama hicho sasa hivi wakati kikiwa almost mwisho wa uhai wake. Kuwekeza kwake kwa Vijana wenye msimamo na Media ndio kunakisaidia sana chama hicho kuendelea kupumua mpaka leo huku the Natural Fate ikiwa inakipa nafasi chama hicho nafasi ya kujikarabati ingawa Viongozi na Wanachama wengine wa Chama hicho wanashindwa kuielewa hiyo concept.

- Huu ni wakati muafaka wa Freeman kujiuliza kama je kuna nini ambacho bado hajakifanya katika uwezo wake wa kufikiri na kuongoza Upinzani, kwa sasa Chama hicho sio siri kimejipiga dhoruba kwa kamali ya kisiasa aliyoamua kuicheza yeye mwenyewe Freeman kwa niaba ya Chama chake na ndio maana ya Uongozi wa Taifa ni kwa Kiongozi kuwa na uwezo wa kuona mbali kwa niaba anaowaongoza. Chadema imefika mahali inahitaji ukarabati mkubwa sana na wa hali ya juu sana kuweza kurudi tena au kufikia zaidi ya kilipokuwa huko nyuma. Chadema haina agenda yoyote tena zaidi ya kusubiri Viongozi wa CCM wakosee herufi na maneno na kuanza kuyarudia rudia kama utani badala ya hoja nzito kwa Umma ambao ulifikia hatua ya kuwaamini sana nyakati fulani zilizopita. toka Utawala mpya wa Awamu ya Tano ya CCM ushike madaraka Chadema imepwaya mno ni kawaida kwenye siasa za Kitaifa ni kama chama cha Democrats huko USA na wao sasa hivi wanakabiliwa na wakati kama huu wa Chadema ni wakati unaohitaji Viongozi wake wa juu kujitafakari upya kama kweli wapo sawa na wanachohitajika kukifanya yaani Upinzani.

- Kutumia muda mwingi kuwashambulia kwa maneno ya mafumbo mafumbo na lugha zisizokuwa za kistaarabu siamini kama inaweza kuisaidia Chadema kurudi kwenye mstari wake wa kuaminiwa na Wananchi kama ilivyokuwa huko siku za nyuma. Binafsi ninakubaliana sana na maneno ya Mwenyekiti Mao Tse tung kuwa...... "Ukiona binadam wawili wanakubaliana kwa kila kitu na kwa wakati wote ujue kwamba aidha Mmojawapo ni Mgonjwa au wote wawili sio wazima".....Historia ya Dunia inaonyesha Chama kimoja kikikaa madarakani kwa zaidi ya Miaka 50 huwa kunakuwa na tabia za kujisahau kwa chama hicho so kinahitaji kukumbushwa kumbushwa kurudi kwenye mstari so ni muhimu sana kuwepo kwa Upinzani nchini, lakini sio kwa huu upinzani uliopo sasa. Freeman amekisaidia sana Chadema sana, lakini Chadema ilipofikia sasa hivi nina wasi wasi ndio mwisho wa uwezo wake kufikiri kisiasa ni wakati muafaka akatafakari kama ni wakati wa kufanya maamuzi magumu sasa au kuja kujutia baadaye.

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Le Mutuz Nation
ukisema chadema imekufa unatumia vigezo gani mbona kila uchaguzi kura zinaongezeka ?? na kama unadai chadema inakufa kwanini serikali yako na dola inahangaika kuwadhoofisha wapinzani?? ruhusuni mikutano ya kisiasa ma shughuli za kisiasa ndo tupime kma chadema imekufa ama la zaidi ya hapo ni porojo tu.
 
"Siku Wamarekani wakinipongeza kuwa nimefanya vizuri,nitatazama nilipokosea"- By Mwalimu Nyerere.

Pamoja na hayo,ushauri wako unatazamwa Kwa mezania zote ili kuona kama lipi lenye kufaa ama kutofaa.

Kama ilivyo CCM inazo njia za kujitathmini na kutazama matakwa ya wanachama na wazalendo wa Taifa wanahitaji nini.

Mbowe anaongoza chama,chenye watu wenye taaluma mbalimbali,maono tofauti,mitazamo tofauti,imani tofauti,umri tifauti,lakini ameweza kuwaweka pamoja Kwa kunia mamoja.

Bado hatulioni anguko kwenye chama,hatuoni chama kikipoteza zaidi ya kuingiza. Uwepo wa mawaziri wastani katika chama cha upinzani kuna maana kubwa katika medani za siasa.

CCM imeporwa sehem ya hazina yake,CCM imeporwa sehemu ya Siri zake hivyo chadema ni dhahiri imezidi Kupiga hatua.

Japo,mawazo yako yana kitu Ndani yake lakini ni muhimu kusema kwamba tutazidi kuwa imara,haijalishi vikwazo vya kisiasa serikali ya CCM imeweka ama inawafungulia mashtaka kina Nani. Ukweli CDM inaendelea kunawiri.
 
Nani asiejua kuhusu uchafu wa GSM? Au kwasababu waliwasaidia katika campaigns na sasa wanatakasa pesa katika CSR? Watumbueni basi tuone kama mnamaanisha mnayo hubiri.
Fact...!!
Le Mutuz tuambieni ukweli hapa wewe na Makonda mnavyowafata fata GSM hamjui madudu ya hawa jamaa?? Au kwa vile ndio waliofadhili Uchaguzi na mkashinda.??
 
Nakuheshimu sana kaka lemutuz na some times huwa napata mawazo ya fikra juu ya Maandiko yako.Nadhani ulivyosema nikweli lakini umeshindwa kuelewa kwa nini chama kimeshuka.kwa Mtazamo wangu nadhani uminywaji wa demokrasia umesababisha hayo yote nadhani vyama kama vingeruhusiwa kufanya Mikutano na Operation mbali mbali Chadema ingekuwa kwa kasi sana,haswa kwa utawala huu wa Timua Timua
 
Du! Kwa akili hii inaonyesha wazi ndo maana mkuru alimtumbua mama furani ktk ukuu wa mkoa ndani ya Siku 27 za uteuzi wake. Mwanzoni nilifikiri kaonewa lkn kwa mada kama hii kutoka kwako sasa sishangai tena. Kwani ni akili duni za ujengaji wa hoja.
Kama kweli chadema ni dhaifu kwann mnawaogopa? Kwann wasipewe nafasi ya kupanda mjukwaani kama mnavyofanya ninyi kupitia serikali ili wote tuone udhaifu huo? AKILI NI ZAO LA URITHI KUTOKA KWA WAZAZI WAWILI. Umethibitisha hilo
 
- GSM na Clouds ni wafanya biashara, GSM wanakodisha Malori yao na Clouds unalipia matangazo kurushwa live, so rekebisha kauli yako mkuu.

le Mutuz
Acha kutetea mafisadi wewe
Hao GSM ni wakwapuaji wakubwa wa uchumi wa Taifa hili. Wamehujumu sana hii Nchi wakati wa utawala wa JK kwa Kampuni yao ya Home Shopping Centre..
Hapo ndio unapojidhalilishaga kwenye kutetea upuuzi.
Kama unavyomtetea Makonda kila siku..
Hopeless.
 
Back
Top Bottom