Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

Kama mambo yenyewe ndo yatakuwa kama nilivyoshuhudia kibaha, pwani mkoa ambapo ndo nyumbani kwa baba Ritz, basi 2015 patachimbika.
 
TBC irushe matangazo hayo kama inavyofanya kwa magamba wakati wa shuguli za kichama. Navishauri pia vyombo vingine vya habai vijitokeze kurusha uzinduzi huo ili kusaidia watanzania wengi kujua nchi yao ilivyoporwa.
 
Sasa huko ndio kutikisa?
Watu wameisha washitukia wachezeshaji wa karata tatu

Sijui watu wa Iringa mwaka huu ummepatwa na nini, Chilisosi aka Chris Lukosi, William Lukuvi, Ana Makinda, Mh, mshukuruni tu Deo Filikunjombe ameokoa jahazi cause akili kichwani ni kama hakuna hivi, makaburu wanawaitaga nyie Kaffar!
 
Kama hivi, hapa ilikuwa ni Kibaha, Mkoa wa Pwani, wakati wa uzinduzi wa Kanda ya Pwani, wiki iliyopita.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    673.5 KB · Views: 55
  • image.jpg
    image.jpg
    656.3 KB · Views: 46
..........ooooooh jamani mimi ccm nitapumulia wapi? mbona kila nikihema hawa watu wananikaba Koo? nikitafuta skipunguza mwendo (speed Governor) kinakuwa kiongeza mwendo (accelerator) mmmmh CHADEMA mtatuua kwa presha jamani!!! ........



Jamani sio mm, ni mawazo ya JK, Pinda, Kinana, Nauye NK. nawaonea huruma!

Peeeeeoples! Poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooowerr!
Dodoma na kanda ya kati lazima ipone!
 
Kama hivi tena, Maili Moja Kibaha, Pwani, Kanda ya Pwani, Mikoa ya Pwani, Temeke, Kinondoni na Ilala.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    622.3 KB · Views: 55
  • image.jpg
    image.jpg
    653.7 KB · Views: 56
  • image.jpg
    image.jpg
    643.4 KB · Views: 45
hizi shahada za india.sasa hapa umeandika nini? dogo

Sitaki kujadili kupata kwako wastani wa 3 kwenye mtihani wa form two mwaka 2001 au kupata lower class kwenye digrii yako ya Education.Chill for now!
 
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013

Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.


CCM waende loliondo wakachukue mzigo wao ... kesho wakusanyieni nyingine ntamwomba Lema atapeleka office ya Nape pale dodoma


viva cdmView attachment 90580
 
Si mumchukue basi?? CHADEMA ni taasisi na hata mwenyewe analijua hilo fiki!!!! Mbona yupo jiiiiii na watu wanatwanga kwa kwenda mbele. si unaona jinsi walivyo geuka kuwa wapinzani. Maana kazi iliyo baki ni kujibu mashambulizi badala ya kutekeleza ahadi zao kwa waTanzania.
Sasa wewe subiria nyomi ya Jmosi ndio utajua "CHAKA LA SIMBA HARAMU KWA NGUREWE".
Mimi nipo Dodoma na huo uwanja wa barafu wameshanyimwa ni bora wamemweka MWAKASEGE watu wakasikilize Injili kuliko majigambo na matusi
Tutaiona hiyo nyomi itakayojaa huko Viwanja ya Wajenzi (ntakuletea Picha za nyomihiyo) basi kwani watu wa Dodoma unawafanya washamba km Arusha, Mbeya na Mwanza? linganisha Mji huu na Jiji la Darhawababaiki na siasa za matusi, muulize Tundu Lissu alivyolalama kuhusu watukutokujaa Mikutano yao huko Dar
 
Kumbe akili yako inadaka matusi kuliko mam o ya maana. Unashabikia watu wanaopenda mambo ya Sodoma na Gomora? Mtu mstaarabu anatakiwa ayakemee kwa nguvu zote.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mwambie Wenje anayoiita Serikali yetu ni ------- (isiyokuwa na uwezo )
 
Mkuu huyo mzanziberi mbona alichafua hali ya hewa!
Mkuu kwa kusema kweli Zitto ni mtu anayepanga hoja zake zikapangika na hana papara wala matusi.
Nadhani tofauti ya Zitto na wabunge wengine vijana utaiona tu.
Kwa mfano Zitto amekuwa akialikwa sana na wasomi pale Nkrumah Hall UDSM katika midahalo mbalimbali. Nadhani wasomi hao humualika kwa kujua kwamba atajenga hoja na si matusi. Sijui vijana gani wengine wamewahi kualikwa kwenye midahalo ya Nkrumah. Hao vijana wengine wanajenga hoja lakini ukiwatwist kidogo tu wanapotea na kuanza kushambulia kwa matusi lakini ZZK hata ukimpinga kwa nguvu namna gani atakuja na hoja shawishi na utakubaliana naye. Juzi nilimsikia kwenye Mdahalo pale UDSM akiwaasa Watanzania hasa vijana kujisomea vitabu ili waweze kujenga hoja badala ya kukufupuka.
Du UBARIKIWE Mkuu maana Kimbunga wewe ni katika Wachache wanaoona mbali katika mustakabali wa nchi hii hasa Kisiasa huyu Zitto sijui yuko wapi? maana si Bungeni wala mitaani hapa Dodoma kuonekana huyu jamaa
Leo wana Mkutano wao wa ufunguzi Viwanja vya maili 2 wajenzi najua Zitto bado hataonekana pia
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unachokuja kuthibitisha hapa ni kuwa Zitto anakuingizia uzi! Good for you.

526602_489746167741558_1121145495_n.jpg

Najua mnalipwa kwa kujibu Post za watu humu JF Gagnija naona siku hizi mnafanyakazi na hivyo viLaptop kwa kututukana mpaka mnavua mashati
angalieni licha ya Zitto sindano zenu haziwezi kututukana hata Bunge hadi muingiziwe uzi ndio muweze kututukana, lini mtakuwa na kuacha uvivu? kafanyeni kazi mitaani mambo ya siasa yana mwisho
 
Last edited by a moderator:
ingekua ccm wangearika wanamuziki,comedian,sarakasi na hata wana mazingaombwe yaani hiki chama sijui kikoje tu,kutoka moyoni siipendi ccm jamani.Sio ushabiki tz imebaki chadema tu,jamani wanacdm wenzangu tulipeni karo ya vitambulisho ili viongozi wetu wafike mbali zaidi kueneza democrasia,halafu chadema wangetoa account namba au m pesa au tigo sisi wadau hata jero nitachanga
 
Back
Top Bottom