- Thread starter
- #121
Natia timu dodoma leo, nitakuwepo LIVE Jumamosi kwenye uzinduzi!
Tunashukuru sana mkuu wangu Mathias Lyamunda.......
Last edited by a moderator:
Natia timu dodoma leo, nitakuwepo LIVE Jumamosi kwenye uzinduzi!
Mkuu Mzito Kabwela wewe si wa level hii. wewe ni wa level ya juu ambaye tunategemea utaibeba JF kwa hoja badala ya haya unayoyaandika ambayo hafanani na wewe hata chembe. Toka huko kwenye vioja rudi kwenye hoja najua una hoja.
itakua saa ngapi tuliopo dom tuwahi nafasi mapemaaaa.ni gumzo hapa dodoma
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013
Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.
Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
NENDENI DODOMA NA NAOMBA MUWAELEZE WAKAZI WA DODOMA ,HATUA MLIZOFIKIA KUHUSU UTATUZI WA HIZI KERO NA MIKAKTI MLIONAYO YA KUWAKUMBUSHA CCM WAWAJIBIKE.
1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17.ELIMU DUNI.
MSIOGOPE MTETEZI WENU YUPO.
HONGERA CHADEMA KWA KUTAMBUA WAJIBU WENU,MUNGU ATAWALIPA KWA WAKATI MSIPOVUNJIKA MIOYO.ENDELEENI KUKAZA BUTI ILI KUZIPUNGUZA HIZO KERO HAPO JUU.
Umepona?
Nakumbuka Mbeya jinsi Kamanda wa Anga alivyoiteka Mbeya sasa sipati picha hii ya Dodoma kama na raisi wa watanzania atakuwepo Dr. W. Slaa... Natamani kuwa Dodoma siku hiyo, update muhimu
Natamani nilie.... But I 'll never give up to fight for a real FREEDOM and hence building a New Nation.
Chawaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!Peopleeeee