Freeman Mbowe Mgeni Rasmi Siku ya Wazee Duniani

Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .

Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .

Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .
Hivi mbowe ni mwamba wa siasa nchini?
 
Hana jipya lolote na muda siyo mrefu atafurushwa na wanachama Kama Mbatia maana wamemchoka hasa baada ya kutoelewa zinakokwenda Ruzuku na michango yote iliyokuwa Inapatikana
Ulizaliwa kwa bahati mbaya kabisa na ndio maana hujui dunia inakwenda wapi kwani unaishi ktk dunia ambayo hukustahili!
 
Asiache kuzungumzia ugaidi
Ugaidi uko huku.
IMG_20211111_073016.jpg

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .

Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .

Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .
Asante kwa taarifa, jee ni maadhimisho ya kitaifa, kimkoa, kiwilaya, au kichama?.
P
 
01 Oktoba 2022
Dodoma, Tanzania

Freeman Mbowe Mgeni Rasmi Siku ya Wazee Duniani​

WAZEE WAJA NA KAULI MBIU YA MGOMO WA KUKATAA KUZEEKA HADI MABADILIKO YAPATIKANE

Zaidi ya watu milioni moja wanafuatilia live kongamano la wazee wa CHADEMA siku ya leo ya maadhimisho ya wazee duniani katika televisheni, mitandao na platform za media zote.

Wazee kutoka kanda zote kumi huku wazee maarufu kama muwezeshaji wa fikra-huru Jenerali Twaha Ulimwengu toka bara , Mzee Faki toka visiwani ni miongoni mwa wazee wengi katika maadhimisho haya ya wazee kupitia BARAZA LA WAZEE CHADEMA na wameahidi kukataa kuzeeka hadi katiba mpya ipatikane.

Salaam zinamiminika kutoka ndani na nje ya nchi kulipongeza Kongamano la Wazee ikiwemo toka spika wa Bunge la Wananchi kamanda Celestine Simba na John Henche waliopo nchini Italy kwa safari ya kikazi ya chama.

erythrocyte
 
01 Oktoba 2022
Dodoma, Tanzania

Freeman Mbowe Mgeni Rasmi Siku ya Wazee Duniani​

WAZEE WAJA NA KAULI MBIU YA MGOMO WA KUKATAA KUZEEKA HADI MABADILIKO YAPATANE

Zaidi ya watu milioni moja wanafuatilia live kongamano la wazee wa CHADEMA siku ya leo ya maadhimisho ya wazee duniani katika televisheni, mitandao na platform za media zote.

Wazee kutoka kanda zote kumi huku wazee maarufu kama muwezeshaji wa fikra-huru Jenerali Twaha Ulimwengu toka bara , Mzee Faki toka visiwani ni miongoni mwa wazee wengi katika maadhimisho haya ya wazee kupitia BARAZA LA WAZEE CHADEMA na wameahidi kukataa kuzeeka hadi katiba mpya ipatikane.

Salaam zinamiminika kutoka ndani na nje ya nchi kulipongeza Kongamano la Wazee ikiwemo toka spika wa Bunge la Wananchi kamanda Celestine Simba na John Henche waliopo nchini Italy kwa safari ya kikazi ya chama.

erythrocyte
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom