Freeman Mbowe Mgeni Rasmi Siku ya Wazee Duniani

Freeman Mbowe Mgeni Rasmi Siku ya Wazee Duniani

Kumekucha !

FB_IMG_1664622470321.jpg
FB_IMG_1664622462229.jpg
 
Kumbe yameandaliwa na chama. Nilidhani ya kitaifa kwa maana ya kuandaliwa na serikali ya samia.
 
Sina hamu kabisa na Mbowe, ametuuza kwa ccm.
Tangu lini shetani akawa rafiki?
Mwafaka gani wa kisiasa na adui wa nchi?
mbona odinga alifanya mengi tu na kenyata? hujawahi hata kupigwa kibao kwa ajili ya cdm ... kisha unaayuka
 
Hana jipya lolote na muda siyo mrefu atafurushwa na wanachama Kama Mbatia maana wamemchoka hasa baada ya kutoelewa zinakokwenda Ruzuku na michango yote iliyokuwa Inapatikana
FB_IMG_1664622462229.jpg

Pichani Wazee wa Mikoa yote ya Tanzania wakisubiri Hotuba kabambe kutoka kwa Mtemi Isike ama Laingwanan Mbowe
 
Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .

Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .

Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .

UPDATES
============
Hali ndio kama mnavyoiona wenyewe .

Makamu mwenyekiti wa Baraza la wadhamini , Maulida Komu akitoa neno

View attachment 2373789

Jenerali Ulimwengu akiingia ukumbini

View attachment 2373791

Wazee wakisubiri mwelekeo wa Dira ya Taifa kutoka kwa Mwamba Mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe

View attachment 2373793View attachment 2373794
Mwamba analamba Asali Kwa Raha zake
 
Hana jipya lolote na muda siyo mrefu atafurushwa na wanachama Kama Mbatia maana wamemchoka hasa baada ya kutoelewa zinakokwenda Ruzuku na michango yote iliyokuwa Inapatikana
Mnawapa vyeo wachaga wakati mnajua ni wapigaji.acha mpigwe ss tunasubiri kuanzisha cha kwetu ambacho kitajali maslahi mapana ya wananchi.
 
Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .

Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .

Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .

UPDATES
============
Hali ndio kama mnavyoiona wenyewe .

Makamu mwenyekiti wa Baraza la wadhamini , Maulida Komu akitoa neno

View attachment 2373789

Jenerali Ulimwengu akiingia ukumbini

View attachment 2373791

Wazee wakisubiri mwelekeo wa Dira ya Taifa kutoka kwa Mwamba Mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe

View attachment 2373793View attachment 2373794
Mbona tunasikia wamefanya yao na kumsukumia Penslovannia
 
01 Oktoba 2022
Dodoma, Tanzania

Freeman Mbowe Mgeni Rasmi Siku ya Wazee Duniani​

WAZEE WAJA NA KAULI MBIU YA MGOMO WA KUKATAA KUZEEKA HADI MABADILIKO YAPATANE

Zaidi ya watu milioni moja wanafuatilia live kongamano la wazee wa CHADEMA siku ya leo ya maadhimisho ya wazee duniani katika televisheni, mitandao na platform za media zote.

Wazee kutoka kanda zote kumi huku wazee maarufu kama muwezeshaji wa fikra-huru Jenerali Twaha Ulimwengu toka bara , Mzee Faki toka visiwani ni miongoni mwa wazee wengi katika maadhimisho haya ya wazee kupitia BARAZA LA WAZEE CHADEMA na wameahidi kukataa kuzeeka hadi katiba mpya ipatikane.

Salaam zinamiminika kutoka ndani na nje ya nchi kulipongeza Kongamano la Wazee ikiwemo toka spika wa Bunge la Wananchi kamanda Celestine Simba na John Henche waliopo nchini Italy kwa safari ya kikazi ya chama.

erythrocyte

Kumbe Baraza la Wazee Chadema ndio baraza la Wazee la dunia!.
P
 
Peter Msigwa : Wazee wa CCM wameshindwa kukemee , kushauri wala kutoka mchango wa mawazo

Back
Top Bottom