Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,782
- Thread starter
- #21
Hata uongozi wa jiwe ?Uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu pekee
Hata uongozi wa jiwe ?Uongozi unatoka kwa Mwenyezi Mungu pekee
Mimi siyo wa kiwango cha kulia we bwege. Namfahamu huyo m/kiti wenu nimekaa naye karibu siyo wewe wa kumsikia km ww poyoyo maisha yake ni kulalamika, kulaumu kila uongozi utakaoingia madarakani. Angependa sn nchi iingie kwenye machafuko. Kwa kuwa nchi yetu ni thabiti ndoto zake hazitatimia kamwe.Sasa unalia nini ?
AaamenMungu mbariki Mbowe
Hukupaswa kumjibuHujui chochote kuhusu Mbowe , Shut Up !
KAZI ya kutetea kutetea uovu ngumu, mwenzio Sunkcost theory amekata PUMZI nawe umeanza.Hana jipya lolote na muda siyo mrefu atafurushwa na wanachama Kama Mbatia maana wamemchoka hasa baada ya kutoelewa zinakokwenda Ruzuku na michango yote iliyokuwa Inapatikana
KAZI ya kutetea kutetea uovu ngumu, mwenzio Sunkcost theory amekata PUMZI nawe umeanza.
Hizi kauli zako za kejeli zitanifanya niunge mkono mapinduzi yanayotaka kufanyikaMedia zote zitaripoti jambo hilo , njia pekee ya kutosikiliza jambo hilo ni kufa kabla ya tarehe husika , uko tayari kufa kabla ya tarehe 1/10/2022 ?
Mwenyekiti wako ana ushawishi Gani kutujengea vyoo Kwa pesa ya mkopo na tozo Kwa wakati mmoja???Nasema hivi huyo Mwenyekiti wako kwa Sasa Hana ushawishi wowote ule
Mnyika huyu huyu aliyekosa ushawishii Hata kwa chama chake?Mwenyekiti wako ana ushawishi Gani kutujengea vyoo Kwa pesa ya mkopo na tozo Kwa wakati mmoja???
UKWELI mnaujua hamna ridhaa ya wananchi, hata akisimama na Mnyika ktk Uchaguzi huru hatotoboa.
Chadema siyo sawa na vyama vyenu vya kibwege , Muulize Zitto akusimulie yaliyomkutaHizi kauli zako za kejeli zitanifanya niunge mkono mapinduzi yanayotaka kufanyika
Pigania haki yako sio kutegemea mwanamme mwenzako akupiganie wakati wewe umefyata mkia wakoNajua tunamwamini mwamba lakini amezidiwa kete.
Tuondoe mahaba kwenye ukweli
Jiwe alikuwa anambembeleza aje ampe uwaziri akakataa, CCM viongozi wasafi hamna Hadi mtuletee kina shaka??Mnyika huyu huyu aliyekosa ushawishii Hata kwa chama chake?
Sijui umeongea na makalio?Pigania haki yako sio kutegemea mwanamme mwenzako akupiganie wakati wewe umefyata mkia wako
Kwa mfano unataka Mbowe afanyejeSijui umeongea na makalio?
Unataka nifungue chama changu mwenyewe?
Chadema iko kisheria na ni chama cha umma kwa hiyo mimi kama mtaka mabadiliko ninawakilishwa na Mbowe ambaye amepewa dhamana na sisi wananchi kikatiba ya chama.
Na sasa naona anayumba.
AaaamenMwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini Dodoma .
Taarifa za Uhakika zinadokeza kwamba Maadhimisho hayo yatafanyika kwenye Hotel ya Dear Mama Mjini Dodoma tarehe 01/10/2022 .
Kama kawaida yetu , tutakuwepo ndani ya Hotel hiyo ili kuwaletea yatakayojiri .
Simple tu, hamia ACT au CCM kabisa.Sijui umeongea na makalio?
Unataka nifungue chama changu mwenyewe?
Chadema iko kisheria na ni chama cha umma kwa hiyo mimi kama mtaka mabadiliko ninawakilishwa na Mbowe ambaye amepewa dhamana na sisi wananchi kikatiba ya chama.
Na sasa naona anayumba.
Wakati ni ukuta, huwezi kupambana na wakati. Mabadiliko lazimaChadema siyo sawa na vyama vyenu vya kibwege , Muulize Zitto akusimulie yaliyomkuta