stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,325
- 3,370
Hilo linajulikana. Salumu Mwalimu alipoulizwa juu ya Mbowe, alisema kwamba Mbowe ni mwenyekiti wake na ataendelea kuwa mwenyekiti wake. Hofu yangu ni mzee wa Ubwabwa. Awe makini sana wasije wakampumzisha kwa amani, kwa maana jamaa wana uchu wa madaraka.