johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Anaenda halafu dipipii anamuachilia Lisu na Chadema inaingia uchaguziniHawezi, akifanya hivyo, maana atakuwa ni mwanasiasa wa HOVYO kupata kutokea hapa Tanganyika.
Halafu CCM inapita katikati yao 🐼