Siwezi kuamini wana siasa wa nchi hi hata siku moja.Sawa
Aende CHADEMA ni chama Kikuu Cha Upinzani.Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
Kutoka Chadema kwenda Chaummwa, bora aende VETA tu sasaWanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
Chadema bana mnajipa umuhimu wa kuamua jinsi ya kufikiri kwa watu,kuwaza kwao, kumuunga mkono nani na kwa nini! Yaani CHADEMA hawa waliokuwa wanamuimba Lowassa ni fisadi kwa miaka zaidi ya kumi waligeuka na kusema ni mtu safi sana mwaka 2015 na kuwataka watanzania na nyumbu wao wampigie kura!Na kwa kweli walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo na waliweza kushika akili nyumbu wengi sana.Kutoka Chadema kwenda Chaummwa, bora aende VETA tu sasa
Hence the end justifies the meaningWanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
Mtajuana bwanaAnandoka na wafuasi wake nyie mateka wa Lissu mtabakia na Chadema yenu.
Mh. Mbowe ajifunze kwa Ndugai. Ukiona anavyozomewa, anatia huruma. Mbowe asitakate kufika hatua hiyo, atajidhalilisha sana.Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
iko X hivyo ipe uzito kidogoWanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
Wanaukumbi.