Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

View attachment 1459189

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

View attachment 1459193
Sawa mwamba amekusikia!
 
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za
Kujikomba kwenyewe ni huku... hizo taarifa za kidunia zilizosema hivyo ni kutoka kwenye chanzo gani labda na mie nichungulie!! Mie sio mtu wa siasa, ila leo nimepotea njia tu kupita hapa. Umenishangaza kwa jinsi ulivyompamba mtu utadhani labda ni malaika, au ndio sisa zenyewe ndo zinataka hivyo?
 
kumbe umepotea njia ! basi sawa mkuu nenda kachukue Noah yako
 
Kupotea njia sio tatizo... naweza nikaelekezwa vile vile! Nipe hiyo link na mimi nitembelee nione humo mwamba alivyotangazwa na ulimwengu kwamba yeye ndio mwanasiasa bora kabisa kwa wakati huu. Maana si kwa kumpamba huko/kujikomba. Au wewe ndo mwamba mwenyewe nini humu umekuja kivingine!
 
View attachment 1459189

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

View attachment 1459193

Haswa. Ni kiongozi bora sana wa upinzani wa kisiasa katika karne yetu hii ya sasa.
 
Kupotea njia sio tatizo... naweza nikaelekezwa vile vile! Nipe hiyo link na mimi nitembelee nione humo mwamba alivyotangazwa na ulimwengu kwamba yeye ndio mwanasiasa bora kabisa kwa wakati huu. Maana si kwa kumpamba huko/kujikomba. Au wewe ndo mwamba mwenyewe nini humu umekuja kivingine!
Kama majina huumba unadhani kwa jina lako hilo kumeumbwa nini ?
 
Nipe kwanza link nikamsome mwamba huko duniani alikotangazwa yeye ndo mwanasiasa bora.. kisha turudi kwenye jina langu mie! Tulimalize hili la mwamba kwanza.. huku kwenye bwege nazi tutarudi wala usijali!
 
Kupe huwa hatoki kwenye ngozi ya ng'ombe hata Kama tayari ng'ombe amechinjwa, yeye hubaki palepale akijua mambo yako Kama kawaida, ila atagundua baadae Sana kuwa kumbe damu ya kunyonyana haipo Tena, ila atakuwa amechelewa Sana.

Ni sawa na nyie wafuasi wa Mbowe, mnahangaika kupaka mkaa badala ya rangi nyeusi mvua ikinyesha uhalisia unabaki palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1459189

Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.

Huyu ndio Mwanasiasa aliyefirisiwa na kudhulumiwa kuliko yeyote barani Africa , ambapo wote waliosaidia kudhulumiwa kwake ama wamepandishwa cheo au wamefutiwa mashitaka yao ya ufisadi , RC wa Mtwara na Mh Mchechu ni miongoni mwa wanufaikaji wa mateso ya Mbowe , Huyu Mbowe Taarifa mpya zinaonyesha kwamba ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi katika historia ya siasa za Tanzania , huyu ametukanwa hata na watu waliokuwa hohehahe aliowaokota majalalani na kuwapa maisha akiwemo Mwita Waitara aliyeokotwa na Chadema baada ya kukimbia UVCCM alikopangiwa kuwa mpika chai wa Nchimbi aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Taifa ( hii ni kwa mujibu wa kauli ya Waitara mwenyewe )

Ni mwanasiasa wa kizazi kipya asiyetishwa wala kuyumbishwa na wenye mamlaka , ni miongoni mwa wanasiasa wachache wa Tanzania WANAOFAHAMISHWA MAPEMA JUU YA NJAMA DHIDI YAO , lakini haogopi , hii imejidhihirisha hata alipofungwa jela miezi minne bila hata kuhukumiwa kifungo na Mahakama , ni miongoni mwa Magwiji wa siasa nchini Tanzania na sasa Africa na duniani , wengi wanamfananisha na kizazi cha akina Nelson Mandela na Kwame Nkurumah .

Hii ni tunu ya Dunia

View attachment 1459193
Hebu tuondolee shombo zako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi RC wa mtwara anayeitwa Byakanwa kabla ya kuwa RC kule mtwara alikuwa wapi?

In God we Trust
 
Kama wewe unavyo faidika na kuramba miguu
Hahahaaa!! Mna tofauti gani na CCM wanaomsifu Magufuli kuwa Rais Bora Africa Kama siyo duniani kote?

Kiuhalisia Mbowe Ni mbabe wa kisiasa ndani ya Chama chake, no democracy in Chadema, ila nyie wafuasi wake wa karibu mnaonufaika lazima mtafute namna ya kumfurahisha boss wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom