Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Asipotangaza mbowe kuzuia mikutano kwa kigezo cha korona ! Niatarudi shule tena ya vidudu kuanza upya!
Hizo siasa za maigizo huku yeye akipiga pesa kupitia mawakiri na kutuchangisha sisi wakati anasema vyuma vimekaza!
Hakika hatumuelewi

Kama nyie niwanufaika moja wapo sisi tunaoandamana na kupigwa naukitoka hupati hata kifuta jacho! Hatupo tayari.
Mawakiri ni tundu alilotoboa lakula hela za chama.

Rudi kindergarten school...!!Shule bado sana we kilaza..!
 
Karibu bwana Mbowe
Unafikiri wewe ndiyo mwanasiasa wakwanza Tanzania?
Hata nusu ya Mtikila au Mrema bado hujafikia!
Utakamatwa na utafungwa, kama Segerea umeona bustani ukafiri ni shamba, sasa utaenda Kitqengule uone shamba lenyewe
Na nakuhakikdishia baada ya hapo utajifunza kuheshimu mamlaka
Usiombeee raia uwoga uwatoke
Ww unafikiri yupo wa kuwazuia watu mln 6 wkt wao wako laki 6 tu...usiombeee Hali hyo itokee
Na ikitokea wote tutajutaaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri sana, kuanzia sasa vyama vya siasa vitapendekeza majina mawili mawili. Kisha hao wataingia kuwachagua majaji watano, viongozi wa dini watano, na watu watano mbalimbali toka haki za binadamu na asasi nyingine huru. Kundi hili ndio litamchagua mwenyekiti wa tume na wasaidizi wake, na ndio litalotoa muundo wa tume. Kulipwa watalipwa na pesa za umma na sio kwa mapenzi ya rais. Fungu la kuwalipa litakuwa kisheria na sio hisani ya mtu yoyote.
Na kwamba hao watakuwa malaika, au!
 
Na kwamba hao watakuwa malaika, au!

Hatutafuti malaika, bali tunatafuta binadamu wanaoweza kutenda haki. Usitake kujifanya haiwezekani ili kutufanya tuendelee na tume hii inayoweza kuingiliwa na watawala.
 
Yaani hiki kishakua kimeo, sasa jalada la Akwilina linahusiana nini na nyie kufanya mikutano nchi nzima? Si mkakate rufaa au kufungua kesi mahakamani? Yes mtaanza ooh mahakama si za hao hao! Sasa niwakumbushe tu kwamba hata mabuti, bunduki na vitunguu ni vyao pia na hata hizo hospitali wanamkono wao humo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mirembe could be an ideal home for some folks who only see issues from a similar angle of view.
 
Narudia kusema hatafanya!
safari hii kiboko yao ni askari magereza cyo police.

anataka apigwe aende ulaya kutibiwa! Au afunguliwe kesi ili apige pesa kupitia mawakili jamaa ameamua kukausha account.
 
Back
Top Bottom