Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

mbona wamejaa wanafunzi

Chama pekee chenye uwezo wa kuwaamuru watumishi wa umma kama walimu kufunga madarasa na kuwaamuru wanafunzi waende kwenye mikutano ni ccm
 
chadema ni mpango wa mungu 2015 ikulu haibahatishi .ukawa pamoja tunajenga nchi
 
===Mwenyekiti Taifa amepanda jukwaani na ameanza kusema yafuatayo=========
attachment.php

attachment.php

1. Sukuma land imebarikiwa rasilimali nyingi lakini badp watu wake nimaskini.
2. Alitolea mfano wa almasi ya Mwadui ambayo imechimbwa miaka mingi lakinibado haiwanufaishi wananchi.
3. Kwa sasa Itilima na Bariadi zina takribani watu laki 7 na nusu lakiniukiuliza kuna shuke ngapi za Sekondari utapata aibu tupu.
Kwa matatizo haya yote bado mliichagua CCM mwaka 2010. Tunahitaji kufanyamabadiliko makubwa mwaka huu 2015.

Mwenyekiti aligusia matatizo ya zao la Pamba na kuwakumbusha wananchi kuwaKambi Rasmi ya Upinzani anayoiongoza walisemea kuhusu mbegu feki iliyosambazwakatika msimu uliopita ambayo ilisababisha hasara kubwa kwa wananchi. Serikaliilikubali kuwalipa wananchi fidia lakini mpaka leo hilo halijatekelezwa.

Aliongeza kuwa amepata taarifa kuwa wananchi wanauza pamba kwa mkopo na kwabei rahisi, hilo halitakubalika. Ni lazima kama Chama watachukua hatua kuzuiahilo.

Mwenyekiti aligusia suala la elimu na kuwaambiakuwa Serikali ya CCM imeharibu mfumo wa elimu. Unazaliwa Bariadi, unakuliaBariadi, unaoa Bariadi na unafia Bariadi. Hii ni tofauti na mfumo wa zamani waMwl Nyerere.

====More===
Alitolea mfano Jimbo lake ambapo ana Vijiji 64, na vijiji vyote 64 vina maji safi na salama. Akasema katika vijiji 64 anazo shule za sekondari 72. Akawataka wananchi kufanya mabadiliko makubwa ya kiutawala kwenye uchaguzi mkuu ili kuleta mabadiliko

Mfumo wetu elimu ni umeharibiwa ndio maana tunazidiwa na Kenya. Hata Rwanda ambayo waliuana wenyewe kwa wenyewe leo wana mfumo bora wa elimu kuliko sisi.
 
Attachments

  • IMG-20150423-WA0062.jpg
    IMG-20150423-WA0062.jpg
    199 KB · Views: 5,349
  • IMG-20150423-WA0064.jpg
    IMG-20150423-WA0064.jpg
    139.7 KB · Views: 5,421
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe leo ameendelea na ziara yake kwa kuingia kwa kishindo wilayani Itilima mkoa wa Simiyu akitokea mkoa wa Tabora alikohutubia halaiki ya watu Nzega hapo jana.

Mara baada ya kuingia wilayani Itilima Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni amelakiwa na msururu wa magari,pikipiki na baiskeli huku wananchi wakijipanga kandokando ya barabara na kupeperusha majani ya miti.

Kwa sasa Mwenyekiti huyo wa Ukawa anahutubia umati mkubwa wa watu katika kijiji cha Legangabilili wilayani humo

Tunaungana na Kamanda Standalone aliyeko kwenye msafara wa Mwenyekiti kutuletea Live updates..

Karibuni...
Mbowe ni kiongozi makini na mbunifu Saaana. Kupitia MBOWE Ukawa wanachukua dola October
 
Last edited by a moderator:
Haaa haaa MUSSA ALLAN kumbe kuna wakati unaamua kusema kweli hata kama ukweli wenyewe unaumiza.Ni hivi Zitto kama Zitto bado anasafiri ndefu sana ya kujenga mtandao kama wa CDM.Ukitazama kwa makini utaona CDM imeanzisha program yake inayosambazwa na kusimamiwa na viongozi wakuu kuanzia Mwenyekiti Mbowe,Makamu wake Prof Safari,Katibu Mkuu Dr Slaa,Naibu Katibu wakuu Salum Mwalim,John Mnyika..........ACT ya Zitto ni Zitto mwenyewe siku akipata mafua chama kimelala na hii ndio tabia ya Zitto kujiona mimi ndio mimi umimi kauweka mbele kweli kufanya kazi kitaasisi kulishamishinda siku nyingi na tabia hii ndio kaburi la ACT usisahu Mrema alikuwa na tabia hii hakuweza kufanyakazi na akina Marando,Dr Masumbuko Lamwai.......... NCCR ilikuwa ni Mrema alipopotoka akiambiwa ukweli fujo matokeo yake leo anakufa na TLP yake taratibu.

Namafananisha Zitto na Daud na Mbowe na Goliath!
 
Last edited by a moderator:
Duh Aiseee, yaani CHADEMA wako kila kona ya nchi hii - Kamanda wa anga Mbowe huku simiyu, salum mwalimu kule njombe, mnyika pande zingine duh hapo sasa naona maCCM yanahara ni full muziki hadi kieleweke.

Hongera sana CHADEMA, hongereni makamanda. Tuendeleee kupiga neno la ukombozi kila kona, kila sekta katika nchi yetu

Peopleeeeeeez!
 
===Mwenyekiti Taifa amepanda jukwaani na ameanza kusema yafuatayo=========
attachment.php

attachment.php

1. Sukuma land imebarikiwa rasilimali nyingi lakini badp watu wake nimaskini.
2. Alitolea mfano wa almasi ya Mwadui ambayo imechimbwa miaka mingi lakinibado haiwanufaishi wananchi.
3. Kwa sasa Itilima na Bariadi zina takribani watu laki 7 na nusu lakiniukiuliza kuna shuke ngapi za Sekondari utapata aibu tupu.
Kwa matatizo haya yote bado mliichagua CCM mwaka 2010. Tunahitaji kufanyamabadiliko makubwa mwaka huu 2015.

Mwenyekiti aligusia matatizo ya zao la Pamba na kuwakumbusha wananchi kuwaKambi Rasmi ya Upinzani anayoiongoza walisemea kuhusu mbegu feki iliyosambazwakatika msimu uliopita ambayo ilisababisha hasara kubwa kwa wananchi. Serikaliilikubali kuwalipa wananchi fidia lakini mpaka leo hilo halijatekelezwa.

Aliongeza kuwa amepata taarifa kuwa wananchi wanauza pamba kwa mkopo na kwabei rahisi, hilo halitakubalika. Ni lazima kama Chama watachukua hatua kuzuiahilo.

Mwenyekiti aligusia suala la elimu na kuwaambiakuwa Serikali ya CCM imeharibu mfumo wa elimu. Unazaliwa Bariadi, unakuliaBariadi, unaoa Bariadi na unafia Bariadi. Hii ni tofauti na mfumo wa zamani waMwl Nyerere.

====More===
Alitolea mfano Jimbo lake ambapo ana Vijiji 64, na vijiji vyote 64 vina maji safi na salama. Akasema katika vijiji 64 anazo shule za sekondari 72. Akawataka wananchi kufanya mabadiliko makubwa ya kiutawala kwenye uchaguzi mkuu ili kuleta mabadiliko

Mfumo wetu elimu ni umeharibiwa ndio maana tunazidiwa na Kenya. Hata Rwanda ambayo waliuana wenyewe kwa wenyewe leo wana mfumo bora wa elimu kuliko sisi.

Kwa picha hizo Ayattohla lazima kesho atenda hapo ndio atakapo aibika
 
Duh Aiseee, yaani CHADEMA wako kila kona ya nchi hii - Kamanda wa anga Mbowe huku simiyu, salum mwalimu kule njombe, mnyika pande zingine duh hapo sasa naona maCCM yanahara ni full muziki hadi kieleweke.

Hongera sana CHADEMA, hongereni makamanda. Tuendeleee kupiga neno la ukombozi kila kona, kila sekta katika nchi yetu

Peopleeeeeeez!

Powerrrrrrrrrrr
 
wenyeviti wa mitaa , vitongoji na vijiji sasa waamke, iwe ni mtaa kwa mtaaa, kijiji kwa kijiji watu wapate elimu huko.... Chama kinawatu hadi ngazi ya shina lazima mikutano ifanyike sana.. Watu wajue jukumu lao la kujiandikisha na kupiga kura...
 
===Mwenyekiti Taifa amepanda jukwaani na ameanza kusema yafuatayo=========
attachment.php

attachment.php

1. Sukuma land imebarikiwa rasilimali nyingi lakini badp watu wake nimaskini.
2. Alitolea mfano wa almasi ya Mwadui ambayo imechimbwa miaka mingi lakinibado haiwanufaishi wananchi.
3. Kwa sasa Itilima na Bariadi zina takribani watu laki 7 na nusu lakiniukiuliza kuna shuke ngapi za Sekondari utapata aibu tupu.
Kwa matatizo haya yote bado mliichagua CCM mwaka 2010. Tunahitaji kufanyamabadiliko makubwa mwaka huu 2015.

Mwenyekiti aligusia matatizo ya zao la Pamba na kuwakumbusha wananchi kuwaKambi Rasmi ya Upinzani anayoiongoza walisemea kuhusu mbegu feki iliyosambazwakatika msimu uliopita ambayo ilisababisha hasara kubwa kwa wananchi. Serikaliilikubali kuwalipa wananchi fidia lakini mpaka leo hilo halijatekelezwa.

Aliongeza kuwa amepata taarifa kuwa wananchi wanauza pamba kwa mkopo na kwabei rahisi, hilo halitakubalika. Ni lazima kama Chama watachukua hatua kuzuiahilo.

Mwenyekiti aligusia suala la elimu na kuwaambiakuwa Serikali ya CCM imeharibu mfumo wa elimu. Unazaliwa Bariadi, unakuliaBariadi, unaoa Bariadi na unafia Bariadi. Hii ni tofauti na mfumo wa zamani waMwl Nyerere.

====More===
Alitolea mfano Jimbo lake ambapo ana Vijiji 64, na vijiji vyote 64 vina maji safi na salama. Akasema katika vijiji 64 anazo shule za sekondari 72. Akawataka wananchi kufanya mabadiliko makubwa ya kiutawala kwenye uchaguzi mkuu ili kuleta mabadiliko

Mfumo wetu elimu ni umeharibiwa ndio maana tunazidiwa na Kenya. Hata Rwanda ambayo waliuana wenyewe kwa wenyewe leo wana mfumo bora wa elimu kuliko sisi.

Raha zaidi ni kwamba huu mkutano uko kijijini na sio mjini , sowale waliokuwawanasema CHADEMA iendevijijini ,imeenda sasa tangu jana Mbowe yuko vijijini na sio makao makuu ya Jimbo ama Wilaya ......
 
uzuri wa kamanda mbowe pamoja na mapungufu yke kama binadamu ni mbunifu. pia hana papara kwenye uongozi. huu mfumo wa kufanya siasa vijijini utaimaliza ccm kabisa.
 
Back
Top Bottom