Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Hao ndio wanyantuzu miaka yote ccm hawana chao miaka yote hapo. cheyo nae kajiloga mwenyewe hawez rudi bungen tena.
 
Hao ndio wanyantuzu miaka yote ccm hawana chao miaka yote hapo. cheyo nae kajiloga mwenyewe hawez rudi bungen tena.

Kanda yote ya ziwa kwa kauli moja wameamua kuachana na utumwa wa kisiasa..
 
Mkuu sisi tunaongea mambo ya nje na siasa sasa kipi kibaya hapo?? Mbowe siyo Dj??

Lakini nadhani u Dj ni kazi halali ya kumuingizia mtu kipato au nimekosea? Kama hivyo ndivyo hakukuwa na umhimu wa kutaja kazi ya Mboe maana ni kazi halali. La sivyo kila anayepanda jukwaani tuwe tunataja kazi yake njee ya siasa.
 
Pind nko kijjn hapo habar ilikuwa UDP sasa miaka 10 sipo huko naskia kjjni kwetu nkoma kati ya vitongj12 CDM10 CCM1 UDP1
 
Duh! Angalia mwamko huo. Picha zinadhihirisha jambo la msingi sana. ASOMAYE NA AFAHAMU!
 
Back
Top Bottom