Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Mkuu Mbowe ni entertainer mzuri sana hata yeye ni mbaya sana kuruka majoka.
Ukisikia kuweweseka ndio huko utaongea yote tumewashika pab pabaya
Mkuu Mbowe ni entertainer mzuri sana hata yeye ni mbaya sana kuruka majoka.
Ukisikia kuweweseka ndio huko utaongea yote tumewashika pab pabaya
Huo Dj ccm wanaujua maana amewanyosha wakanyoka japo walijifanya kuingiza mamluki...Mkuu sisi tunaongea mambo ya nje na siasa sasa kipi kibaya hapo?? Mbowe siyo Dj??
Huo Dj ccm wanaujua maana amewanyosha wakanyoka japo walijifanya kuingiza mamluki...
Chadema hizo sasa sifa,Njombe mnapiga na Itilima nako.Mnataka kuwa kama mke wa mcharo kila siku nyama.Wataisoma number mwaka huu
Ahsante sana kamanda Standalone kwa live coverage kutoka wilayani Itilima mkoa wa Simiyu.
Kwahakika umenibariki sana jioni hii kwa maneno mazito na ya kutia matumsini makubwa kutoka kwa Kamanda wa Anga.
Mkuu kwa age yako hata wewe ulishacheze pale Mbowe kabla haikawa Billcanas
Ahsante sana kamanda Standalone kwa live coverage kutoka wilayani Itilima mkoa wa Simiyu.
Kwahakika umenibariki sana jioni hii kwa maneno mazito na ya kutia matumsini makubwa kutoka kwa Kamanda wa Anga.
Siku nyingine andika kwa kiswahili tu!acha kumzihaki mtumishi wa Mungu(Daud).Watu wengine bana !!!!!! wewe ni muislam thats why unamfananisha mtumishi wa Mungu na devel agent
Chadema mlianza na shetani mtamaliza naye tu.
Maslahi ya Nchi au ya wachaga? Acha kuchanganya mambo.
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu, ww gamba uliewaibia watanzania maskin wa kutupwa nyie mnapiga mamilion ya mapesa na mabilion huku watanzania mkiwacha maskin hali ya kuwa TZ inautajir wa kutupwa, hv bac tulianza na Mungu na tutamliza na Mungu, ww kanungu yy bora hata huyo mnyama analiwa cjui ww ni chui jike, kaa mbali kbs mlianze na shetena na mtamaliza na sheten, kwa maana mmewabiwa watz miaka mingi sn na ushetan wenu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe leo ameendelea na ziara yake kwa kuingia kwa kishindo wilayani Itilima mkoa wa Simiyu akitokea mkoa wa Tabora alikohutubia halaiki ya watu Nzega hapo jana.
Mara baada ya kuingia wilayani Itilima Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni amelakiwa na msururu wa magari,pikipiki na baiskeli huku wananchi wakijipanga kandokando ya barabara na kupeperusha majani ya miti.
Kwa sasa Mwenyekiti huyo wa Ukawa anahutubia umati mkubwa wa watu katika kijiji cha Legangabilili wilayani humo
Tunaungana na Kamanda Standalone aliyeko kwenye msafara wa Mwenyekiti kutuletea Live updates..
Karibuni...