Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Hapo magamba wanapanga mikakati ya kumtuma kinana ili aende akapime zari
 

Attachments

  • 1429797140027.jpg
    1429797140027.jpg
    8.7 KB · Views: 370
Ni muhimu Makamanda muwe na mkakati endelevu wa kuelimisha na kuongeza wana chama wapya.
 
attachment.php

Mwenyekiti akipata chakula cha mchana na vijana wa Red brigade waliokuwa wamehitimu mafunzo

Akipata pia chakula na wenyeji wa kata ya Lagangabilili mara baada ya kuzungumza ni vijana hao waliokuwa mafunzoni
 

Attachments

  • REdbrigade.jpg
    REdbrigade.jpg
    123.5 KB · Views: 5,854
  • Thanks
Reactions: jme
Zimefanyaje? mpaka zitishe watu? Kwani kuna nini kipya hapo?

Kipya ni kujitokeza kwa wananchi kumsikiliza kiongozi wao bila kutumia kivutio cha fisi
 

Attachments

  • 1429797372078.jpg
    1429797372078.jpg
    40.8 KB · Views: 178
One love kamandaz!.sisi tunawasambatisha huku mitandaoni,salum mwalimu njombe,mnyika shinyanga,prof safar tanga,mbowe simiyu,slaa popote!..lazima wakae ,mamamaye

Mkuu hata kama tunabaniwa mitandaoni lkn tupo tuu
 
Mkutano wa hadhara umeanza na alianza kuhutubia Mwenyekiti wa Kijiji cha Lagangabilili kwa tiketi ya Chadema ambaye alisema yafuatayo;
1. Wilaya ya Itilima ni mpya lakini maeneo mengi hayajapimwa na watu hawaruhusiwi kuendeleza maeneo yao


2. Maeneo ya wananchi yaliyotwaliwa kwa ajili ya ujenzi wa makazi ya serikali wananchi hawajalipwa fidia.
3. Mkuu wa Wilaya ya Itilima anawagawa watu kikabila katika Wilaya ya Itilima.
4. Serikali wanatutaka kupunguza ng'ombe lakini malori yanaua watu kila mara lakini hawajawahi kuambiwa wapunguze.
5. Serikali yake imefuta michango na kulipia gharama zisizo na msingi za kiutawala i.e mihuri.


=====More Updates======
Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti- Mhe. Kasulumbai alisema yafuatayo;
1. Wasukuma sisi ni wengi lakini wametumia umaskini wetu kutuibia rasilimali
2. Mwaka huu ni wa uchaguzi tuchague wabunge na madiwani wengi wa Chadema.
3. Akina mama, wazee, vijana tujitokeze kujiandikisha.
4. Zao la Pamba bado halijawanuaisha wananchi.
 
  • Thanks
Reactions: jme
===Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Musoma Mhe. Alex Malima Kisurura ====


1. Alimtaka Mwenyekiti wa Kijiji wa Lagangabilili kuwa asilalamike matatizoyao ni kwa sababu walifanya makosa kuchagua madiwani wengi wa CCM. Wawaondoemwaka huu kwenye uchaguzi mkuu Oktoba
2. Alisema amepata taarifa kuwa madiwani wa Itilima walivunja kikao kwasababu ya kukosa posho. Ni aibu kubwa badala ya kuzungumza masuala ya maendeowanashindwa kwa sababu ya posho.
3. Aliendelea kusema kuwa katika Halmashauri anayoongoza alikuta akina mamawanalala watatu kwenye kitanda kimoja. Kwa sasa Halmashauri chini ya Chadematatizo hilo limekwisha na huduma za afya zimeboreshwa.
4. Halmashauri yake walifuta kitu kinachoitwa michango ya maabara. Na hilolimefanikiwa kwa kuongeza mapato na kujenga Halmashauri na sio kuwasumbuawananchi.
 
watu lazima wajue kunatofauti kubwa kati ya taasisi ambayo inafanya kazi kiteam, na kuna kamradi kamtu mmoja, ambako hakawezi kuonekana mahali popote bila huyo mtu. Sasa watanzania wanataka tanzania imara hata kiongozi akifa chama kinaendelea kama nyakati zile za mwalimu j.k. Nyerere, chama kilikuwa na misingi kila sehemu., tujihadhari sana na miradi ya watu, ambayo mtu mmoja anakuwa alfa na omega.. Hii ni hatari, tz inawatu milioni 45+ iweje , mtu mmoja aonekane yeye ndiye kila kitu... Haiwezekani. Tuseme big no kwa watu kama hao..
 
Back
Top Bottom