Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

Hizo picha zinawatisha Mbaya magamba na mawakala wao. Hii nchi imeiva Kwa ukombozi
Ahsante CHADEMA na UKAWA Kwa kuonyesha moyo wa that kutuondolea ccm

Umeonaee kamanda hakuna majungu ni kazi tu, ccm na ccmb tumbo joto
 
hii mbinu mpya ya cdm kufanya mikutano vijijini ni kaburi la ccm .
 
Zimefanyaje? mpaka zitishe watu? Kwani kuna nini kipya hapo?

Choo kahesabu Mende ndo kax yako sisi tunazid kuchanja mbuga utaongea sn maana ulishaongea vitu ving mno kipind unajiita choo yaan Msalaan, ulianza na kata 5 za marudio ya udiwan Arusha, tukakupiga chin na ukavimba juu, serekal za mitaa tulijutandika tena ss hapo ulipo umechoka najua utajifungua rasm oct uchaguz mkuu subir dawa ikuuingie vzr taratibu kifo cha menge miguu juu.
 
One love kamandaz!.sisi tunawasambatisha huku mitandaoni,salum mwalimu njombe,mnyika shinyanga,prof safar tanga,mbowe simiyu,slaa popote!..lazima wakae ,mamamaye
 
mkuu Standalone kwa niaba ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO WILAYA YA KYELA nakushukuru sana kwa picha hizi , ninao uhakika kwamba Mungu atakulipa .
 
mkuu Standalone kwa niaba ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO WILAYA YA KYELA nakushukuru sana kwa picha hizi , ninao uhakika kwamba Mungu atakulipa .

nakushukuru sana Kamanda...

Chadema ni Mpango wa mungu,,Kazi tunayoifanya ni mungu pekee anayeweza kutulipa...
 
Tunakwenda Nchi Ya Kanani, Yenye Maziwa Na Asali, Daa Lahasana.
 
Kujilinda ni haki yako,hivyo magu acha kutunyanyasa....mimi natembea na kisu,nina mikuki 6,mishale 100,nina mafunzo ya kutumia kisu....na wadogo zangu wote wana mafunzo hayo na silaha hizo sote kwa pamoja tunalinda familia yetu na mali zetu za ukoo kama mifugo,wake zetu.sasa hapo navunja sheria....tuletee basi polisi watulinde sisi tule raha mstarehe.....hakuna wa kuharibu nchi hii ila nyie mapolisi na watu wa serikali basi,mimi siibi mali wala fedha ya serikali maana mafisadi sio sisi ni nyie...wakamate hao.
 
Back
Top Bottom