palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
afdhali picha zimeletwa mapema maana wale wa rangi ya maruni hawakawii kusema chadema hawajafanya mkutano kisa watu hawakuwepo.
Hizo picha zinawatisha Mbaya magamba na mawakala wao. Hii nchi imeiva Kwa ukombozi
Ahsante CHADEMA na UKAWA Kwa kuonyesha moyo wa that kutuondolea ccm
Mkuu angalia utawaua kwa presha hawa vibaraka wa Mbowe!
Mkuu angalia utawaua kwa presha hawa vibaraka wa Mbowe!
Ungeanza kwa kumuuliza huyo mwenzio anayeitaja CCM, imehusikaje hapo?
Zitto lazima ahusike maana yeye ndio chanzo cha kumfanya Mbowe aende SIMIYU!
Kamanda Mbowe endelea kusambaza upendo njia nyeupe kwa Ukawa kuingia ikulu.
Hujui hata jina la bwana wako!
Mungu ibariki CHADEMA,
Ibariki CUF,
Ibariki NCCR-MAGEUZI,
Ibariki NLD na viongozi wote wa UKAWA.
Aamen!!
Naona unaweweseka na baado ndio tumewasha motoUngeanza kwa kumuuliza huyo mwenzio anayeitaja CCM, imehusikaje hapo?
Zitto lazima ahusike maana yeye ndio chanzo cha kumfanya Mbowe aende SIMIYU!
Naona kila anapopita Zitto, chadema wanakwenda kuziba mashimo.
Muha kawashika pazuri wachagga.
Kiboko yenu ni Kinana