Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.
Akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa.Mbowe anamuhitaji sana Zitto
 
Ila tuwe wakweli, hilo baraza halijitoshelezi. Wenye sifa ni wachache sana. Upinzani bado utaendelea kuwa upinzani kwa mida kidogo. Ina maana kama wangeshinda, kina Lema ndo wenye sifa za kuwa mawaziri? Msigwa? Etc.
Mkuu, kwani hukuona jinsi JPM alivyochukua muda mrefu kutangaza baraza lake la Mawaziri, na hukuona jinsi alivyowapa ubunge wa kuteuliwa watu wengine nje ya waliochaguliwa na wa viti maalum ili awateue kuwa mawaziri? Kama hao akina Lema unaona hawafai, kwani UKAWA ingeshindwa nini kuwapa ubunge watu wasio wabunge wa kuchaguliwa au viti maalum ili waje kuteuliwa kuwa mawaziri? Kama CCM ilifanya hivyo, kuna ubaya gani UKAWA wangefanya hivyo?
 
Kwa nini wabunge wa CCM wasiisimamie serikali? Au nako hakupatikani wabunge wenye upeo kama ilivyo kwa UKAWA as you said?
Kwa sababu CCM huwa na semina elekezi kwa wabunge kupitia CCM na CCM inawaamrisha kusimamia maslahi ya Chama kwanza, utaifa na kuwawakilisha waliowachaguwa baadae.

Wabunge wa CCM wanakuwa wasikivu wakiogopa kunyang'anywa uanachama na kufukuzwa chama au kuitwa kuhojiwa mbele ya cc kama Kolimba.
Wengine wanaogopa kuambiwa wao si raia wa Tanzania. CCM ina mbinu nyingi za kukulazimisha kutenda mambo au kusema kitu kwa maslahi ya chama.
 
Ninyeshangaa kama Zitto angejumuishwa kwenye hilo Baraza
 
Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.
Ha! Ha! Haaa!!! eee bhana mkuu hiyo " mizuka ya rais " ikoje hiyo mjomba ?
 
zitto kakataa kumbe,nampongeza sana mana nilivyoskia hizo habar ziliniuma sana chadem sio ya kuamini kabisa
 
Mleta alituaminisha uongo.......tunaomba afute kauli yake

Kiongozi wa upinzani ni mbowe jumlisha hao nilio bold wote hao wanatoka kilimanjaro.Baraza sehemu kubwa ni la watu wa kilimanjaro kuanzia kiongozi mkuu hadi mawaziri

Ofis ya rais Tamisemi jafar maiko
Utumishi
Lucy molel

Makam muungano
Ali saleh A. Ali

PM bunge kazi na ajira
Esta bulaya

Sera na mipango
Halima mdee
Naibu silinde

Uchukuzi
Injinia mbatia
Will kambalo

Nishat
Mnyika na heche

Maambo ya nje
Msigwa

Kilimo
Makdalena sakaya

Ulinzi
Juma hamad omar
Waitara naibu

Mambo ya ndani
Lema

Ardhi
Wilfred lwakatare

Maliasili
Estamatiko na pareso

Viwanda
Kalist komu

Elimu
Suzan limo

Afya
Dk godwin molel

Habar
Joseph mbiliny
Minja devota

Maji
Hasan bobali
Peter lijualikali

Katiba na sheria
Tundu lisu
 
Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.
Watu makini kwa wakati makini ni mda umefika wakufanya kazi kwa umakini zaidi na si kwa mashinikizo ya kisiasa, acha nchi yetu tuijenga pamoja kwa umoja kuongeza ufanisi na tija kwa taifa letu...upinzani ni dhidi ya yule aliye madarakani na si wale wasio na madaraka...Mh.Zitto akiingia baraza la mawaziri kivuli ni mtanzania halisi mwacheni afanye kazi na watanzania wenzake ndo waliomfikisha hapo alipo basiiiiii!
 
Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.
Kwani kubenea ataweza kitu gani ktk Baraza hilo? Anachoweza yeye ni kuhesabu shanga za wake za watu tu na nguo zao za ndani. Japo kwa sasa sina ukaribu na cdm lakn kwa hili nampongeza mbowe.
 
Kiongozi wa upinzani ni mbowe jumlisha hao nilio bold wote hao wanatoka kilimanjaro.Baraza sehemu kubwa ni la watu wa kilimanjaro kuanzia kiongozi mkuu hadi mawaziri

Ofis ya rais Tamisemi jafar maiko
Utumishi
Lucy molel

Makam muungano
Ali saleh A. Ali

PM bunge kazi na ajira
Esta bulaya

Sera na mipango
Halima mdee
Naibu silinde

Uchukuzi
Injinia mbatia
Will kambalo

Nishat
Mnyika na heche

Maambo ya nje
Msigwa

Kilimo
Makdalena sakaya

Ulinzi
Juma hamad omar
Waitara naibu

Mambo ya ndani
Lema

Ardhi
Wilfred lwakatare

Maliasili
Estamatiko na pareso

Viwanda
Kalist komu

Elimu
Suzan limo

Afya
Dk godwin molel

Habar
Joseph mbiliny
Minja devota

Maji
Hasan bobali
Peter lijualikali

Katiba na sheria
Tundu lisu
Ume bold saba na ambazo hujabold ni 19 sasa ulitaka uone jina la mother wako ndio uone hakuna ukaskazini? Unashindwa kujua hata mgawanyo wa idadi ya wabunge walivyo kaa ki maeneo. Unatia aibu wewe zoba, subiri muziki mtakao chezeshwa bungeni
 
Nm

Kweli wewe ni wa ajabu,,ulitaka hawa mawaziri kivuli wengi watoke Dodoma???kwani Kilimanjaro ,arusha na mikoa mingine ambayo ukawa imeshinda ndipo walipopatikana hawa mawaziri,,
 
Ume bold saba na ambazo hujabold ni 19 sasa ulitaka uone jina la mother wako ndio uone hakuna ukaskazini? Unashindwa kujua hata mgawanyo wa idadi ya wabunge walivyo kaa ki maeneo. Unatia aibu wewe zoba, subiri muziki mtakao chezeshwa bungeni

Toka kilimanjaro mawaziri wa wizara tofauti wako nane
kwa hiyo mikoa yote iliyobaki imepewa wizara 11

Watu wa kilimanjaro wanashilia asilimia 72 ya wizara zote.Maana wizara ziko 19 wao wako wizara nane .
 
Haku
UKAWA inamuhitaji zaidi Zito Kabwe kuliko yeye anavyohitaji kuwa ndani ya UKAWA. Hakuna namna nyingine ya kulikwepa hili kama wanahitaji watu wenye upeo Mkubwa wa kuisimamia Serikali.
Hakuna kitu zito mla rushwa tu na msaliti
 
Nkuulize tuu swali moja,,ni mikoa ipi iliyochagua upinzani zaidi???@yehodaya
 
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu .............. Magufuli alikataa kufanya kampeni na Nyoka mwenye makengeza kwa ajili ya kuhusishwa na ufsadi lakini leo jamaa ni Mwenyekiti wa Bunge!! Hivi unaona Magu ana namna ya kumkwepa nyoka .............!!! Hata ANC walifanya kazi na makaburu na wanaendelea kufanya nao kazi pamoja na yaliyotokea huko nyuma!!
 
Unafikiri Dodoma wangechagua upinzani Leo hawangepewa wizara???
 
Toka kilimanjaro mawaziri wa wizara tofauti wako nane
kwa hiyo mikoa yote iliyobaki imepewa wizara 11

Watu wa kilimanjaro wanashilia asilimia 72 ya wizara zote.Maana wizara ziko 19 wao wako wizara nane .
Kwa hiyo kwako wewe 8 katika 19 no asilimia 72?
Kumbe kweli unayohaki kikatiba na kitamaduni kuitwa ZOBA. Kuandika pekee sio kitu kinachoweza kukupa heshima hapa Bali kuandika kitu chenye mantiki. Kwa taarifa yako unapotezea muda watu making kusoma upuuzi wako ambao ni mwingi sana
 
Back
Top Bottom