bridgestone
Member
- Feb 6, 2015
- 69
- 37
Tatizo kuna watu hawajujui nyakati na mambo yake,,,, naonakuna watu wanambo ya kampeni ..na siasa..bado huu ni wakati .. ,kuisimamia serekali,, na wananchi.. mnaboa sana,,,
hebu leta list tafadhali
Mbowe na mawaziri vivuli muda huu.
Ofis ya rais Tamisemi jafar maiko
Utumishi
Lucy molel
Makam muungano
Ali saleh A. Ali
PM bunge kazi na ajira
Esta bulaya
Sera na mipango
Halima mdee
Naibu silinde
Uchukuzi
Injinia mbatia
Will kambalo
Nishat
Mnyika na heche
Maambo ya nje
Msigwa
Kilimo
Makdalena sakaya
Ulinzi
Juma hamad omar
Waitara naibu
Mambo ya ndani
Lema
Ardhi
Wilfred lwakatare
Maliasili
Estamatiko na pareso
Viwanda
Kalist komu
Elimu
Suzan limo
Afya
Dk godwin molel
Habar
Joseph mbiliny
Minja devota
Maji
Hasan bobali
Peter lijualikali
Katiba na sheria
Tundu lisu
Baraza hili nizur sana wenye chama kaskazin wapo wa kutosha pia imani ile ya chama kwa ukanda wanaotoka
Zitto pole pia pamoja na kujipendekeza kabwagwa
Kamanda vp Mbowe ameshatangaza Baraza???
Nijuze kama ZZK kaingia
Upinzani haukugawaliwa na chama tawala, BALI wamegawinyika wenyewe ndio maana utaona majina tofauti, ukawa ni muungano wa vyama tofauti zenye sera tofauti. ACT na vinginevyo pia ni vyama tofauti. Kwa hiyo usitegemee kama vimegawanya, Bali ni vyama vyenye maslahi tofauti. Siasa ni interest Leo wako pamoja kesho utawaona wakiwa na misimamo isiyolingana that's politics.Kila MTU ni Muhimu mistake kuwagawa Upinzani !!
Kama unataka kuongea Kisiasa Zitto anawahitaji Ukawa. !!!!
kuliko wakati mwingine wowote
Cha Muhimu wamekuja pamoja waache wafanye KAzi !!
Kamanda vp Mbowe ameshatangaza Baraza???
Nijuze kama ZZK kaingia
Duh! Hivi ndo vichwa vya ukawa? Hapo ni Mbatia na Mnyika labda.Mbowe na mawaziri vivuli muda huu.
Ofis ya rais Tamisemi jafar maiko
Utumishi
Lucy molel
Makam muungano
Ali saleh A. Ali
PM bunge kazi na ajira
Esta bulaya
Sera na mipango
Halima mdee
Naibu silinde
Uchukuzi
Injinia mbatia
Will kambalo
Nishat
Mnyika na heche
Maambo ya nje
Msigwa
Kilimo
Makdalena sakaya
Ulinzi
Juma hamad omar
Waitara naibu
Mambo ya ndani
Lema
Ardhi
Wilfred lwakatare
Maliasili
Estamatiko na pareso
Viwanda
Kalist komu
Elimu
Suzan limo
Afya
Dk godwin molel
Habar
Joseph mbiliny
Minja devota
Maji
Hasan bobali
Peter lijualikali
Katiba na sheria
Tundu lisu
Baraza hili nizur sana wenye chama kaskazin wapo wa kutosha pia imani ile ya chama kwa ukanda wanaotoka
Zitto pole pia pamoja na kujipendekeza kabwagwa
Mleta alituaminisha uongo.......tunaomba afute kauli yakeBaraza limeshatangazwa Zitto KABWE hayumo asilimia kubwa ya mawaziri ni wa kilimanjaro hasa wachaga
Either ZZK is in the shadow cabinet or not...does not matter a lot. What matter is his involvement/ participation in driving all agenda initiated by opposition.Limetangazwa, na Zitto hayupo!!!!!!!!!
hahahahahahahhaa,waziri mkuu kivuli Mbowe,yaani watu wengine bwana,ukivuli ukivuli so what?Rais kivuli ni Lowasa